mi pia ningemsamehe ila hatokula hata sh tano yangu. lol
Kusamehe ni moyo, si wewe
SIdhani kama nigekuwa nimeshamsamehe kwa kweli, ningekuwa bado naugulia maumivu
naona wengi sana wapo katika situation kama hiyo ila angalia tu moyo wako utafarijika ukimsamehe au ukisonga mbele na maisha yako. kwanza baba wa kweli ni yule aliekulea na kukuthamini hata kama hakukuzaa yeye, baba wa hivyo si baba.tukiachilia mafanikio ya huyo dada, mie pia nipo kwenye situation kama hiyo, kwamba kwasasa "baba" ndio anataka kututambua, tena anakuomba kabisa umpelekee na wajukuu wakamfahamu babu yao, hakututunza kwa lolote lile, bado tunajiuliza "kakumbuka nini kwetu na tumeshazeeka kwasasa" kwamba hakuona dhamani ya kutulea bali anaona dhamani kwamba ana watoto na wanajiweza kidogo kubadili mboga ndio anaona ndio muda wake muafaka wa kututafuta? alikuwa wapi siku zote? sijui bwana kama mie naweza samahe.
Hivi wababa huwa mna matatizo gani lakini?? nini kinawafanya kukimbia watoto wenu?? halafu wakishakuwa wakubwa ndio mnajifanya kuwatafuta. Heri kama umeamua kukimbia mtoto/watoto wako kimbia milele basi ijulikane moja.
naona wengi sana wapo katika situation kama hiyo ila angalia tu moyo wako utafarijika ukimsamehe au ukisonga mbele na maisha yako. kwanza baba wa kweli ni yule aliekulea na kukuthamini hata kama hakukuzaa yeye, baba wa hivyo si baba.
Hivi wababa huwa mna matatizo gani lakini?? nini kinawafanya kukimbia watoto wenu?? halafu wakishakuwa wakubwa ndio mnajifanya kuwatafuta. Heri kama umeamua kukimbia mtoto/watoto wako kimbia milele basi ijulikane moja.
Je mna uhakika baba ni lofa?
what if baba ni millionaire?
kinachouma zaidi nikikumbuka tulivyosoma kwa shida, mama alivyohangaika, halafu tulikuwa tunaambiwa baba yenu ana cheo fulani mahali fulani, kwamba alikuwa ana uwezo wa kutosha kabisa kutulea, hakufanya hivyo, yaani mie leo naanzaje kusamehe/kusahau? kiukweli nitakuwa mnafiki, bado nina bonge la kinyongo nae na hilo analijua ni bora tubakie tu hivi hivi kwa sasa kuliko nijiumize kwa "kusamehe kinafiki" kumbe naugulia ndani kwa ndani, hiki kitu anatakiwa akijutie/ajilaumu mpaka siku atakapotwaliwa.
mie naona kama wengi wao wanaotutafuta kwasasa wameshakuwa wastaafu na pesa zao walizimalizia kwenye starehe za maisha hawana mbele wala nyuma sasa wanatafuta pa kushika, huyu mzee wangu anatafuta pa kushika tu!
Ex solidier mwenye watoto watano? Hiyo sura ya pesa kweli? Nauli yenyewe kalipiwa na ibalozi wa Kenya nchini Namibia.
Hata kama ni lofa, inawezekana kaguswa tu, kuna vitu sometimes havina thamani ya pesa