Going back to my wife

Yaani sikuungi mkono hata kidogo Mimi nikiacha nimeacha sina tena muda nasonga mbele! Wanawake wapo zaidi yetu vidume harafu nirudi kulekule!?. Ni kweli wanafanana ila sirudi nyuma! Hata wawe watoto kumi mama tofauti nitawaunganisha wanangu basi!!
 
Sawa mkuu. Tunatofautiana mitazamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa yeye akikukatalia je? Unajiamini Sana eeenh, unaweza kumtimua kesho ukitaka unamrudia au sio?

Angalia Mzee, ukimkuta zimempanda na yeye anakuchomolea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom