Going back to my wife

Going back to my wife

Sasa mkuu si ungesubiri ukishakuwa in ndio utuletee ujumbe... Hapa bado mapema kutaka tuzungumzie haja yako....Umeshajiuliza vikwazo vya hiyo safari ya kurudi????? Mimba ya wk haitangazwi mkuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii signature yako inalandana na plans zangu. Seriously we need to learn how to solve our issues rather than fighting each other. Kwnye mahusioano kila mmoja akijielewa na kutambua nafasi ya mwenzake katika nyumba hamtakaa mfarakane hata siku moja. Lakini mmoja akijifanya ni kiburi na mbabe mwisho wake sio mzuri kabisa
Kweli Mkuu
 
Hongera Mangi.....ila nadhani ulikuwa hujui unataka nini.........then mlipoachana ndio umejua unachokitaka......kuwa makini sana...coz unachokita kinaweza kuwa kimetekwa na wanaojua kutengeneza wakitakacho....
 
Hongera kwa maamuzi mazuri. Maana umezunguka bucha zote umekuta nyama ni ileile. Mungu akuongoze kufukia lengo hilo. Ila pima kwanza afya zenu kwa pamoja.
 
Tabia zenu mmezirekebisha sasa na una amini zitaendana?
 
Hauumwi kweli wewe? Maana mara nyingi haya huwa mnayakumbuka mkiwa mnataka wa kuwauguza.
 
Hongera sana kwa maaumuzi mazuri kama ya Profesa Jay
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom