Gogle- natafuta nyumba ndogo

Gogle- natafuta nyumba ndogo

walaaaa, ila uchungu wa nyumba ndogo naupata pata kimtindo. Hasira siyo kwa wakurya tu, hapana chezea hilo jambo

naomba nitumie muda huu kukupunguzia hasira zako mama! you will enjoy indeed... let me prepare my cold juice! its evening you know!!

pole kwa uchovu wa mizunguko!
 
Heshima kwenu,

Ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani.
Leo nimekuja mbele yenu waungwana wenzangu munipe msaada.
Sina mke ila nna mchumba ambae bado yupo chuoni, anamalizia master yake, atakamaliza august 2015, baada ya hapo ndio tutapanga ndoa, mchumba ana msimamo mgumu sana, hataki kujigijigi hadi ndoa ifungwe.
Hivyo nimeamua kutafuta nyumba ndogo kwa muda hadi hapo mchumba wangu atakapo kuwa tayari.
Nyumba ndogo anatakiwa awe na muonekano kama huu hapa chini:

Asanteni sana

Unaweza kuogelea lakini? Kuna nyumba ndogo hapo jangwani,ni ya kifahali ina mlango wa fuso na pazia,kodi yake ni bure na ukitoa uhakika wa kuhamia utawekewa honi mlango kupunguza usumbufu wa kugonga hodi.
 
Moja ipo mbagala ukubwa Kama choo cha jiji, veeeeery cheap! Buku shing tano tu kwa mwezi ruksa kulipa kila mwezi
 
naomba nitumie muda huu kukupunguzia hasira zako mama! you will enjoy indeed... let me prepare my cold juice! its evening you know!!

pole kwa uchovu wa mizunguko!
shukrani, basi hapa zitapoa ila lazma macho yawe wazi kumulika mwizi, teh teh. Hope it will be mango juice
 
Aisee ladies na gentlemen mumenikoshaaaaa.

Safiiiii.
 
shukrani, basi hapa zitapoa ila lazma macho yawe wazi kumulika mwizi, teh teh. Hope it will be mango juice

wacha ujanja ujanja bana!! weka mawazo pamoja kwa ajili ya mechi....!! ya simba na manchester sugar! lols!
 
Ujue Gogle amekumaindi ile mbaya wewe ndo umeanzisha masuala haya ila nashukuru kwa ubunifu wako maana no return of the Gogle wala nanilio lake lililotahiriwa

hhahahaha. Na kweli! Manake nimefululiza kweli kumpa za uso.
 
wacha ujanja ujanja bana!! weka mawazo pamoja kwa ajili ya mechi....!! ya simba na manchester sugar! lols!
hahaahahahahhaha, wenyewe watakuja hapa itakuwa shida si wajua walivyo? Ujanja muhimu, lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom