Gogle- natafuta nyumba ndogo

Gogle- natafuta nyumba ndogo

hii hapa..full kiyoyozi,full kubeng..full mahewa....

341.jpg
 
Duh! Nimecheka saana yaani "nyumba ndogo"
watu wamemaanisha mjengo!
Duh! Nadhani mleta mada hana hamu tena.
 
Jamani mbona nimeweka na picha ya aina ya nyumba ndogo ninayoitaka, mnajifanya hamnielewi!

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
kuna haja kabisa ya kuanzisha project maalum ya kujenga nyumba ndogo..!!

naona soko lipo kabisa mjini hapaaa!!!

kumbe fursa zipo...!!
 
Hahahhhahhhhaha jaman gogle sasa ushapata nyumba ndogo? ???
 
kuna haja kabisa ya kuanzisha project maalum ya kujenga nyumba ndogo..!!

naona soko lipo kabisa mjini hapaaa!!!

kumbe fursa zipo...!!
ila tunasema ogopa kukutwa ndo kauli mbiu ya nyumba kubwa. Nkikukuta tu mie naja na greda hapo kazi inakuwa kwisha kabisa
 
Unaoa mke au unaoa masters sio lazima kumsubiria amalize kusoma kwani hajawahi kuingiziwa bakora nini...oa yeyote ladha ni ilele ile kitu haisomi ujue.
 
sijawahi, na ninahisi sitowahi pata nafasi ya kuelewa thread za huyu mtoto sijui mtu mzima, sijui ni babu.
 
ila tunasema ogopa kukutwa ndo kauli mbiu ya nyumba kubwa. Nkikukuta tu mie naja na greda hapo kazi inakuwa kwisha kabisa

hahahaaa!! mamii usiogope...!! insurance zipo kabisa kwa ajili ya protection..!!

You eat me, i eat you twice..
 
sijawahi, na ninahisi sitowahi pata nafasi ya kuelewa thread za huyu mtoto sijui mtu mzima, sijui ni babu.

Jitahidi kidogo,utaelewa tu, kwani ulipata divisheni ngapi vile?

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
hahahaaa!! mamii usiogope...!! insurance zipo kabisa kwa ajili ya protection..!!

You eat me, i eat you twice..
haogopi mtu, yeye ndo ameanza so mie namrudishia hata thrice ilimeadi akimuona mume wa mtu akili ikae sawa. Naharibu hadi ardhi isifae labda kwa kuchimbwa mtaro baaasssss
 
haogopi mtu, yeye ndo ameanza so mie namrudishia hata thrice ilimeadi akimuona mume wa mtu akili ikae sawa. Naharibu hadi ardhi isifae labda kwa kuchimbwa mtaro baaasssss

mama, wewe ni mkazi wa tarime?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom