Godzilla vs Kong

Godzilla vs Kong

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,007
Nimeipenda hii movie. Inafaa kupotezea wakati. Ila sijapenda Kong kupewa kipigo cha hadi kukaribia kufa kutika kwa Godzilla. Nilifurahi kichapo walichopewa Godzilla na Kong kutika kwa Mechagodzilla. Hasa kichapo alichopokea Godzilla.

Umeipendea nini hii movie?
 
Kwangu mimi Godzilla nzuri ni moja tu hii hapa.

images (2).jpeg
 
Alafu huyo Kong kumbe hana say kwa Godzilla, nilidhani m'babe flani kumbe anapigwa na zilla kummmmke! 🤣
 
Back
Top Bottom