Godwin Mwaipongo mpinzani wa Tundu Lissu TLS, alishawahi kugombea kupitia CCM

Kwani Rais aliposema kua wanasiasa wanataka Uongozi Kwani akili yenu mnazani alimlenga Lisu, kwanini msizani alimlenga huyu wa CCM.. Ni ujinga wenu kuzani kila jambo linawahusu nyinyi, kila vita ambayo Rais anapambana nayo mnasingizia inahusu Chadema ni ujinga sana

Rais alipoingia madarakani, alianza kutumbua, chadema wakatoka barazani kua anatumbua watu waliounga mkono Chadema au watu wa kaskazini

Alipokataza maandamano, mkasema nayo wamelengwa Chadema

Walipoanza kushughulikia watu wa madawa, mmesema inalengwa Chadema kisa katajwa Mbowe, wakati Manji, azani, na Kina Wema ni CCM, ujinga..

Wamekataza viroba tena mnasema wanalengwa Chadema

BAHALULI NYINYI

hicho ulichokiandika ukirudia kukisoma utaishia kucheka "hivi ni mimi kweli?"
 
Litaondoka tuu hili hiki ni kipindi cha mpito kwani wala msibabaike hata akikaa hiyo kumi atasepa tuu
 
Wana CCM bana.....kila penye "mamlaka" mnataka kuwepo nyie tu. Wengine wasisogelee hata!

augustino_ramadhani.jpg


jaji-jpg.130307


FSA_9644.JPG
 
Hoja ya Mwakyembe haina mashiko na itashindwa vibaya sana .

Shukrani mkuu kwa kufichua siri hii .
 
Hadhira hii mbona ilikuwa imechoka? Watu walikuwa wanaupiga U-Wa-Hasira? Kulikuwa na "ushawishi" gani wa kwenda pale? Huyu naye ndiye angekuwa "Raisi" wetu? TLS kazi kwenu..
 
Asante sana Friday, ushahidi huu ni muendelezo wa double & tripple standards za CCM na hasa awamu hii ya 5.

Siasa za aina hii hazitotufikisha popote kama Taifa. Siasa za chuki, visasi, hila, ghiliba, uonevu ni moja ya sababu kubwa za kudumaa kwa fikra na hata maendeleo kuzidi kuwa ndoto za mchana.

Tundu A. M. Lissu for TLS presidency!!
KWA vile huyo hakushinda Siyo mwanasiasa. Ila Tundu ni mwanasiasa. Kwahiyo mwalimu wake atakifuta hicho chama
 
Back
Top Bottom