Godwin Mwaipongo mpinzani wa Tundu Lissu TLS, alishawahi kugombea kupitia CCM

ji2 katil kama hl halipasw kuongoza nch sema kwa upumbav wa wananch wachache na leo 2mefikia hapa 2napoteswa kila uchao!
 
Jamaa ni mnafiki miksa roho mbaya, halafu hana hulka ya kuunganisha watu yeye ni mafarakano tu...halafu..anazuga aombewe duhh aiseee...uzuri wa Mungu yeye huumbua tu watu...
 
Hivi Faru John amefikia wapi?? PM amechemsha kwa FJ? Naona kimya sasa alivyolivalia njuga daaaa nikajua report ikitoka watu wataenda na maji heee naona Mzee ya Picco ameenda na maji na matamko yake
 
mwakyembe amekosa weredi wake anachofanya sasa ni kutetea uongo, uovu, dhuluma mi nashangaa sana mwakyembe ni expert wa costitutional law lakini katiba hii anayoijua yeye inapindishwa yeye anashangilia shame of him bora mi dikufundishwa na huyo mzee
 
Tusipokuwa makini tutakuwa na roho mbaya zaidi ya ile ya wakoloni, tumeendekeza uvyama na kusahau mambo ya msingi, tumekuwa vipofu wa kuona shida za watanzania badala yake tunaona shida za vyama
 
Back
Top Bottom