Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,926
- 97,564
Ni kama wewe umeumbwa lakini unaamua kukashfu! Everything is possible and anything can happen!Kitu kama kiliumbwa perfectly kitaingiaje tamaa?
Kama kitu kimeweza kuingia tamaa Huoni kwamba kiliumbwa imperfect?