Gods must be CRAZY!!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,821
309141_492461850781330_1035790734_n.jpg
 
Hiyo movie inanikumbusha mbali sana...ni moja ya movie nzuri ambazo nilipenda kuzitazama enzi hizo. Nakumbuka nilikuwa ni mdogo kwenye miaka ya 1996.
 
ila hawa wa khoi san wa south ni kama wachina fulani hivi, ukikuta wadada aisee wazuri ajabu..kumbuka kale ka big brother kalikokuwa kametokea Namivia...kale keupe...ndo kabila la hawa jamaa.
 
Hata nikiiangalia million times haijawahi nichosha.... Ghoshhhh
 
Aisee nilikua nacheka sn pale jama walipo kua wana pita zigzag ili wamkwepepe yule mzungu!duuh
 
Nafikiri hiyo heading neno linatakiwa kuwa gods na sio Gods after all hakuna Gods bali ni God, pia God never be crazy!
 
nafikiri hiyo heading neno linatakiwa kuwa gods na sio gods after all hakuna gods bali ni god, pia god never be crazy!
hahahah na wee umekuwa king'amuzi
didi u know how to differentiate gods and God this are two different terminologies usilewe imani
 
hivi ni kwa nini ... must be crazy?!

Filamu inamhusu bush man ambae walikuwa wanaishi vzr but wakapata ugeni wa chupa toka angani wakajua imetoka mbinguni so maajabu ya hiyo chupa ndipo linakuja hilo jina. ila ikumbukwe chupa ilitupwa na mzungu kwenye ndege
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom