masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,920
- 15,166
Kwa hakika ukiamka asubuhi sana na kukuta picha hii ya Mungu kwa uhalisia, hutaacha kumshukuru kwa uumbaji wake.Wakuu, I am an amateur photographer, lakini kati ya picha nilizowahi kupiga nakumtukuza Mungu ni hii hapa.
Nipe maoni, na baadaye nitasema ni mahali gani nchini.
Kwa hakika ukiamka asubuhi sana na kukuta picha hii ya Mungu kwa uhalisia, hutaacha kumshukuru kwa uumbaji wake.
Wakuu, I am an amateur photographer, lakini kati ya picha nilizowahi kupiga nakumtukuza Mungu ni hii hapa.
Nipe maoni, na baadaye nitasema ni mahali gani nchini.
Ha ha ha!Hukuamikia kiporo cha ugali....... Hongera kwa hii snapshot
Ni wapi imepigwa hii picha? masopakyindi
Mkuu ushauri mzuri huu, nitaufanyia kazi.Imetulia sana 12 tofauti unatengeneza calendar nzuri sana well done
I am an amateur photographer, lakini kati ya picha nilizowahi kupiga nakumtukuza Mungu ni hii hapa.
Mkuu kumshukuru Mungu ukiamka salama kila asubuhi ni muhimu sana, kwani si wote wanaipata baraka hiyo.Unamtukuza Mungu kwa kuona jua linachomoza au?
Mkuu kumshukuru Mungu ukiamka salama kila asubuhi ni muhimu sana, kwani si wote wanaipata baraka hiyo.