GODFREY MONYO (ITV): Serikali ina mpango gani kuwafidia walioharibiwa au kuibiwa Mali zào Oct 29?

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,617
Reaction score
39,974
Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao.

Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini Uhai wa Watanzania uliopotea tena wengine wakiwa Majumbani kwao kama ilivyotokea kwa Mtangazaji wa Clouds Master Tindwa.
 
Waandishi wamepangwa hao. Balile hayupo hapo, maana yeye ndio anawapa muongozo waandishi waulize nini. Utetezi wake wa kuficha ukweli huwa anasema taifa kwanza. Yaani kwake uongo ndio sifa ya kulinda taifa.
 
hapo wa kuwapa pole ni wale waliopigwa wakiwa makwao tu wale waliopigwa barabarani wakajifie zao huko waliyataka wenyewe
 
Yaani waandishi wa habari wote wameshindwa kumuomba atumie pres ya leo kutoa upande wa serikali kuhusu taarifa za CNN,ALJA ZEELA,BBC na DAUTCHBELLE ,waandishi wa bongo ni bure kabisa hata mimi nawazidi kwa utambuzi wangu mdogo!!
 
Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao.

Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini Uhai wa Watanzania uliopotea tena wengine wakiwa Majumbani kwao kama ilivyotokea kwa Mtangazaji wa Clouds Master Tindwa.
Kuna mtu alipoteza maisha kutokana na uzembe wa vyombo vya dola,kivipi?..unajua uzembe ni nini?
 
Nimeshangaa Mpaka Sasa Serikali haijaamua kama tutasherehekea tarehe 09/12/2025 Siku kukuu ya Uhuru ama lah!
 
Leo ndio nimeona uwezo wa waandishi wa habari wa nchi yenu,
munawalaumu tu bure hawa watu muwasamehe

ni vilaza by nature
Kuharibu tasnia ya habari za maana ni kazi iliyofanywa vizuri sana na serikali ya CCM kuanzia utawala wa jiwe mpaka wa huyu mama, tasnia nzima ya habari sasa hivi imegeukwa kuwa vijiwe vya Simba na Yanga pamoja na comedy mbovu tu.
 
hapo wa kuwapa pole ni wale waliopigwa wakiwa makwao tu wale waliopigwa barabarani wakajifie zao huko waliyataka wenyewe
Mtu alihamasishwa AKATIKI,wakati anarudi akapigwa risasi ya kichwa au tako akafa,huonei hiyo nafsi huruma kweli?
 
Nazidi kumkumbusha msigwa na vibaraka wake. Kwa namna wanavyojibu haya mashirika ya habari ya kimataifa, journalists kutoka Tanzania kuja kufanya kazi huko itakuwa mtihani sana.

Na NYIE journalists wa Tanzania, mkiendelea kudance na hii bloody regime, you keep digging deeper and deeper your own graves!
 
Ili ni lilevi TU walio poteza ndugu zao watashikwa makalio?
 
Waandishi wamepangwa hao. Balile hayupo hapo, maana yeye ndio anawapa muongozo waandishi waulize nini. Utetezi wake wa kuficha ukweli huwa anasema taifa kwanza. Yaani kwake uongo ndio sifa ya kulinda taifa.
Wewe kibaraka wa Mbowe kaa kimya. Ulimpinga shujaa Magufuli bila sababu yoyote.
 
Magufuli alikuwa ni dhalimu, na huu ushenzi wote unaoendelea sasa yeye ndio muasisi.
 
Back
Top Bottom