Kwani Lema pia anauliza TRA kwenye mitandao ya kijamii hajui ofisi za TRA zilipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajenga miradi mikubwa yote kwa pesa ya ndani, mabarabara, maji, umeme, na madege, mameli, mahospitali, mengine waweza taja weweIpi hiyo mkuu ?ebu twambie sisi wazareeendo
In God we trust
Niliongea na mtu wake karibu juzi, akaniambia kuwa Mzee a ajua kuwa ameboronga lakini kurekebisha imekuwa taabu. Na sasa anategemea msaada wa RA kuwapa imani wawekezaji na wale waliohamisha mitaji. Amekiri wazi kuwa alifanya makosa kuwachukia matajiri.Watatangaza nini wakati hali ya uchumi mbaya .......muungwana akivuliwa nguo hasimami uchutama
Mzee baba akubali tu kuna mahala amefeli afanye marekebisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajenga miradi mikubwa yote kwa pesa ya ndani, mabarabara, maji, umeme, na madege, mameli, mahospitali, mengine waweza taja wewe
Apambane na hali yake ...alijua kuongoza nchi sawa na kuongoza nyumba?Niliongea na mtu wake karibu juzi, akaniambia kuwa Mzee a ajua kuwa ameboronga lakini kurekebisha imekuwa taabu. Na sasa anategemea msaada wa RA kuwapa imani wawekezaji na wale waliohamisha mitaji. Amekiri wazi kuwa alifanya makosa kuwachukia matajiri.
Kwa sasa kila kitu hakiendi.
kila siku wastani wa TIN 300 zinarejeshwa TRA nchi nzimaUkiona hivi,ujue kuna siri zimevuja na zinazoonyesha hali si nzuri.
Mafala wote duniani hujiona wako sahihi kuliko wenzao...!! Kwa hy na ww ni miongoni mwa hao Ma- fala.
Mtanyooka tu. Hapa kazi tu.Zile mbwembwe za TRA za kutangaza mapato zimeishia wapi ?tunajua hali mliyofikia.Kama siasa chafu na sera mbaya za uchumi hazita koma,Tanzania itarajie kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko Zimbabwe,tena mapema sana,mliwakamua ng'ombe bila kuwalisha na sasa mnakamua damu.ZIMBABWE
Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
Utanyooka tu awamu hii. Hapa kazi tu!!kila siku wastani wa TIN 300 zinarejeshwa TRA nchi nzima
Lema ataweza kweli kuelewa hesabu hizo?
Hahaha, lema bana, Sir tunawaza kupamabana na maisha yetu yeye anakesha anawaza TRA tu na serikali
Hakuna siri tena hali ni mbaya sana watu na makampuni yanayoidai serikali yana hali mbaya kwani hailipi madeni mwaka wa pili sasaUkiona hivi,ujue kuna siri zimevuja na zinazoonyesha hali si nzuri.
kila siku wastani wa TIN 300 zinarejeshwa TRA nchi nzima
Hakuna siri tena hali ni mbaya sana watu na makampuni yanayoidai serikali yana hali mbaya kwani hailipi madeni mwaka wa pili sasa
asikudanganye mtu, ridhiki yako inategemea mafanikio ya mtu mwingine. kama ambavyo watu wengine wanavyonufaika na kipato chako.
serikali ipo kusimamia nyenzo kama usalama wa wetu na mali, na nk
TRA ikiyumba unafikiri hautahusika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lema ataweza kweli kuelewa hesabu hizo?
Itabidi mmawia amsaidie amchoree na graph kabisa.