shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,154
Likitumia mamlaka yake sawasawa, Sizonje angekuwa mtaanI zamani sanaKwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?