Godbless Lema: Tanzania kazi ya Bunge ni kusimamiwa na Serikali hivi ndivyo wananchi wanapaswa kuelewa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,896
lem.jpg

Kazi ya Bunge ni kuisimamia Serikali,Tanzania kazi ya Bunge ni kusimamiwa na Serikali,hivi ndivyo wananchi wanapaswa kuelewa,Bunge ambalo haliwezi kusimamia haki ya Mbunge aliyepigwa risasi kupata haki yake,bunge hilo halitaweza kujua shida zenu za maji hata kama mnakufa na kiu
 
Kwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?
 
Nina mashaka na elimu yako. Na kama ulienda shule ulikuwa unakuwa wa kwanza kutokea mwisho
Kama hata hii siasa ya darasa la pili inakuoiga chenga!!!mhhhh tuna kazi
 
Kwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
 
Atupe mrejesho wa millioni 60 za kila mwezi za mfuko wa jimbo amezifanyia toka january hadi april..za serikali walau tunaona bombardier, barabara, reli ya kisasa, madaraja, uboreshaji miji, vivuko, huduma za afya na mengineyo..atupe yeye mrejesho wa hicho kidogo anachopewa kila mwezi kwa ajili ya jimbo la arusha mjini
 
Kwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?
Mtaji wa CCM,elimu siyo kipaumbele chao.
 
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Kama elmu kingekuwa kipaumbele cha chadema mbowe form six failure division zero asingekuwa mwenyekiti chadema taifa mwenyekiti angekuwa profesa baregu au hata dokta Rwaitama.Nyie matapeli kipau mbele kingekuwa elimu saa hi mbowe angekuwa kavaa kaptula na shati ya shule akisomeshwa na chadema ili afanye mtihani wa marudio wa kidato cha sita
 
Umetaja jina Mbowe mara nyingi kuliko hata unavyomtajaga Mumeo,kulikoni ?
 
Back
Top Bottom