Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
ntarudi
Huyu mtu unajiuliza anakosekanaje Bungeni? Anakosekanaje kwenye uongozi wa nchi hii? Kweli huyu niwakwenda kuishi ukimbizini? Kutuambia ukweli ndo kigezo chakutisha atoroke nchi? Na tunaamini kweli kwamba alikuwa adui wa Taifa Leo au alikuwa adui wa watu wasiowaadilifu?
Taifa letu tutazidi kukwama Hadi pale tutakapoanza kuwakumbatia wazalendo na watu wenye uelewa mpana Kama Lema. Leo kelele za Kodi alizompigia Makamu wa Rais Bungeni ndo tunazinduka kuzifanyia kazi, kwanini Mzee Mpango ukumsikiliza kipindi kile kabla Taifa alijapata hasara?.
Lema uishi maisha marefu uione Tanzania ya Ndoto yako. Kukosekana kwako Bungeni tunaona pengo, praising team haina hoja kinzani.
Anachotaka mkoa hoja ni kwamba alichosema Lema ndio kinarudia kusemwa na Raisi baada ya kifo cha Raisi. Kwa hiyo sio sahihi kumfanya mtu anayesema ukweli adui hata kama anatoka chama pinzani.Labda taifa la ukoo wako na huyo bosi wako.
Tuna mengi ya maana zaidi ya hilo la huyo janja ya RCHUGA.
Uhuru wa mitandao usikufanye uwaseme watu wezi wamagari wakati ukiambiwa thibitisha huweziLema huyu anayedaiwa alikuaga mwizi wa magari tena sio mtaalam wa chochote ndio unatutisha eti taifa linamkosa? Hebu muachage mzaha wajameni.
Wewe ni walewale kichwa box.Labda taifa la ukoo wako na huyo bosi wako.
Tuna mengi ya maana zaidi ya hilo la huyo janja ya RCHUGA.
Ni Kweli kabisa.Tanzania inawajinga kuleeee
Yeyote anayeoneka genius
1. hupigwa vita
2. Huzushiwa
3. Hupondwa
4. Na hatimae kuangamiza
Mbowe
Tundu Lisu
God bless lena
Mawazo
Maalimu Seif
Msigwa
Mbilinyi
Nawengine wengi
Vyovyote iwavyo welevu na wenye maono huchukiwa sana na wajinga waliowengi
Lema alimpiga Samson Mwigamba jabali pale hoteli ya Snow Crest kwenye vikao vyao vya chama kisa aliuliza matumizi ya Ruzuku, na hata baada ya kufanya hivyo chama hakikumchukulia hatua yeyote.Ni kweli walikua na hoja mbadala bungeni, ila ndani ya chama walikua wapigaji pamoja na mwenyekiti. Haiwezekan milioni 300 kila mwezi ya ruzuku kwa muda wa miaka 5 washindwe kujenga hata ofisi. Uliwaambia ukweli huu wanatukana... Sujui demokrasia gani wanaitaka hawa wachaga
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Kama hoja zenu ndo hizi, basi ndio maana mnaonekana wajinga sana. Kwahiyo mnavyomsifia Rais Samia ni mke wenu?Sidhani mleta mada ukiwa Mwanamke kumsifia mume wa Mtu Godbless Lema hujamtendea haki mkewe hizo sifa ulizomumwagia mumewe angekuwa nchini mkewe angkuzaba vibao
Beatrice kasifie wako hata kama haenei
Chako ni chako hata kama ni chongo
Qwumma mama yako na mmeoWewe ni bwege sana qwumma saaana
Yaani juha ni juha tuu. Yaani huna uwezo kabisa wa kuchangia mchango kulingana na mada zaidi ya hii ya copy & paste kila uzi!!!???Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.
Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!
Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
Huu utumwa wa kuangalia Dr,Prof.... tuangalie na kuthamini mchango na karama ya yeyote kwa ustawi na maendeleo ya taifa letu.Lema huyu anayedaiwa alikuaga mwizi wa magari tena sio mtaalam wa chochote ndio unatutisha eti taifa linamkosa? Hebu muachage mzaha wajameni.
Huyu mtu unajiuliza anakosekanaje Bungeni? Anakosekanaje kwenye uongozi wa nchi hii? Kweli huyu niwakwenda kuishi ukimbizini? Kutuambia ukweli ndo kigezo chakutisha atoroke nchi? Na tunaamini kweli kwamba alikuwa adui wa Taifa Leo au alikuwa adui wa watu wasiowaadilifu?
Taifa letu tutazidi kukwama Hadi pale tutakapoanza kuwakumbatia wazalendo na watu wenye uelewa mpana Kama Lema. Leo kelele za Kodi alizompigia Makamu wa Rais Bungeni ndo tunazinduka kuzifanyia kazi, kwanini Mzee Mpango ukumsikiliza kipindi kile kabla Taifa alijapata hasara?.
Lema uishi maisha marefu uione Tanzania ya Ndoto yako. Kukosekana kwako Bungeni tunaona pengo, praising team haina hoja kinzani.
Haha wale ni wapigajiLema alimpiga Samson Mwigamba jabali pale hoteli ya Snow Crest kwenye vikao vyao vya chama kisa aliuliza matumizi ya Ruzuku, na hata baada ya kufanya hivyo chama hakikumchukulia hatua yeyote.
Mwigamba akanyanganywa na laptop 💻 yake, Lema bwana.
Hata waganga na wachawi wengi wanatabiri au kuzungumza ya mbele yakatimia katika jamii kama manabii wakati si nabii.Huyu mtu unajiuliza anakosekanaje Bungeni? Anakosekanaje kwenye uongozi wa nchi hii? Kweli huyu niwakwenda kuishi ukimbizini? Kutuambia ukweli ndo kigezo chakutisha atoroke nchi? Na tunaamini kweli kwamba alikuwa adui wa Taifa Leo au alikuwa adui wa watu wasiowaadilifu?
Taifa letu tutazidi kukwama Hadi pale tutakapoanza kuwakumbatia wazalendo na watu wenye uelewa mpana Kama Lema. Leo kelele za Kodi alizompigia Makamu wa Rais Bungeni ndo tunazinduka kuzifanyia kazi, kwanini Mzee Mpango ukumsikiliza kipindi kile kabla Taifa alijapata hasara?.
Lema uishi maisha marefu uione Tanzania ya Ndoto yako. Kukosekana kwako Bungeni tunaona pengo, praising team haina hoja kinzani.
Hapo chini sukuma gang&Tagas wamekupa like kama zote.Labda taifa la ukoo wako na huyo bosi wako.
Tuna mengi ya maana zaidi ya hilo la huyo janja ya RCHUGA.
Ubunge wenyewe Wa dhuluma,atapata wapi confidence ya kuongea,guilty conscience inamtesa.Huyu Gambo Hana lolote, Yuko Kimya huku wafanyakazi wa utalii na Mashamba ya Maua wakikosa mafao NSSF