Godbless Lema Taifa linaongozwa na sauti yako tuliyoikataa

Huyu mtu unajiuliza anakosekanaje Bungeni? Anakosekanaje kwenye uongozi wa nchi hii? Kweli huyu niwakwenda kuishi ukimbizini? Kutuambia ukweli ndo kigezo chakutisha atoroke nchi? Na tunaamini kweli kwamba alikuwa adui wa Taifa Leo au alikuwa adui wa watu wasiowaadilifu?

Taifa letu tutazidi kukwama Hadi pale tutakapoanza kuwakumbatia wazalendo na watu wenye uelewa mpana Kama Lema. Leo kelele za Kodi alizompigia Makamu wa Rais Bungeni ndo tunazinduka kuzifanyia kazi, kwanini Mzee Mpango ukumsikiliza kipindi kile kabla Taifa alijapata hasara?.

Lema uishi maisha marefu uione Tanzania ya Ndoto yako. Kukosekana kwako Bungeni tunaona pengo, praising team haina hoja kinzani.

Ukiwa upinzani huwezi kukosea. Ingia ngoma ucheze. Kuongea sio kutenda 60 Millionen people, wote karibu wajuaji. Lema mwepesi sana. Ila kwa kuwa una uhuru wa kuandika na Kuna kundi ambalo nao ni waimba sifa Ingawa hawatataka kutambulika Hivi, Basi andiko lako halitakosa Support. Kufarijiana. Ila siamini Kama wajinga kiasi hicho cha kuamini Lema Ni mtuuuu.

Najiuliza bado Hivi alikimbia Tz kuogopa Nini. Mana kama ingekuwa Serikali. Hakuna kwa kukimbilia. Niache ya ngoswe. Ila mama Lema hajai popote. Kujifariji kwa namna Hii Ni ku commit intellectual suicide.
 
Ni kweli walikua na hoja mbadala bungeni, ila ndani ya chama walikua wapigaji pamoja na mwenyekiti. Haiwezekan milioni 300 kila mwezi ya ruzuku kwa muda wa miaka 5 washindwe kujenga hata ofisi. Uliwaambia ukweli huu wanatukana... Sujui demokrasia gani wanaitaka hawa wachaga

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Huyu mtu unajiuliza anakosekanaje Bungeni? Anakosekanaje kwenye uongozi wa nchi hii? Kweli huyu niwakwenda kuishi ukimbizini? Kutuambia ukweli ndo kigezo chakutisha atoroke nchi? Na tunaamini kweli kwamba alikuwa adui wa Taifa Leo au alikuwa adui wa watu wasiowaadilifu?

Taifa letu tutazidi kukwama Hadi pale tutakapoanza kuwakumbatia wazalendo na watu wenye uelewa mpana Kama Lema. Leo kelele za Kodi alizompigia Makamu wa Rais Bungeni ndo tunazinduka kuzifanyia kazi, kwanini Mzee Mpango ukumsikiliza kipindi kile kabla Taifa alijapata hasara?.

Lema uishi maisha marefu uione Tanzania ya Ndoto yako. Kukosekana kwako Bungeni tunaona pengo, praising team haina hoja kinzani.
Halafu huyu dada wa Kihaya nilikuwa namuona ana point .Sasa hivi anaandika utoporo mtupu.
 
Trump alisema Africa lazima tutawaliwe tena viongozi wengi hasa vyama vizee kama CCM hawana mawazo mbadala.Leo vifurushi vimepanda hakuna anayezungumza hilo wamekaa kimya,leo kuanzia samia ,Joni,mpango wote wapo kwenye VPN yaani wamekimbia kivuli chao sasa unajiuliza hawa ni watawala au wahuni!
Kweli, wanakumbatia katiba iliyopitwa na wakati nao wanajua kwamba inastahili kutupwa na kutengenezwa katiba mpya inayoendana na mazingira ya sasa.
 
Labda taifa la ukoo wako na huyo bosi wako.

Tuna mengi ya maana zaidi ya hilo la huyo janja ya RCHUGA.
Alimwambia mara nyingi sana ila Jiwe alishupaza shingo yake. Mwisho shingo ikavunjika. Nawe endelea tu na kejeli zako.
 
Sidhani mleta mada ukiwa Mwanamke kumsifia mume wa Mtu Godbless Lema hujamtendea haki mkewe hizo sifa ulizomumwagia mumewe angekuwa nchini mkewe angkuzaba vibao

Beatrice kasifie wako hata kama haenei

Chako ni chako hata kama ni chongo
Wewe ni mwanamume, ulivyokuwa unamsifia mwendazake ulikuwa unaomba ruhusa kwa mkewe?
 
Trump alisema Africa lazima tutawaliwe tena viongozi wengi hasa vyama vizee kama CCM hawana mawazo mbadala.Leo vifurushi vimepanda hakuna anayezungumza hilo wamekaa kimya,leo kuanzia samia ,Joni,mpango wote wapo kwenye VPN yaani wamekimbia kivuli chao sasa unajiuliza hawa ni watawala au wahuni!
Kuna uwezekano mkubwa Mama kuhujumiwa ndani ya chama chake na maadui zake hasa wale waliokuwa wanufaikaji wa Utawala wa Jiwe. Na hivi sasa hawana nafasi tena. Kundi lingine ni lile la Mgombea Urais wa 2025.

Kuna uwezekano mkubwa Mama na Serikali yake wakashindwa kuwalipa mishahara Watumishi.
 
Gambo pokea ujumbe...uko Kimya na NSSF inanyima watu mafao... Mashamba ya Maua na Utalii wanakosa mafao
 
Umemsahau hayati magu
Tanzania inawajinga kuleeee

Yeyote anayeoneka genius
1. hupigwa vita

2. Huzushiwa

3. Hupondwa

4. Na hatimae kuangamiza

Mbowe

Tundu Lisu

God bless lena

Mawazo

Maalimu Seif

Msigwa

Mbilinyi

Nawengine wengi

Vyovyote iwavyo welevu na wenye maono huchukiwa sana na wajinga waliowengi
 
Alimwambia mara nyingi sana ila Jiwe alishupaza shingo yake. Mwisho shingo ikavunjika. Nawe endelea tu na kejeli zako.
We mpuuziiiiii na wapuuzi wenzio.

Nyerere, mkapa, magufuri

Mwinyi, jakaya, samia.

Endapo DODOMA ITAKUWA DAIMA IKULU.

BASI MAMBO LAZIMA YABADILIKE.
 
Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.

Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!

Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
Risiti ya manunuzi iko wapi?
 
Wewe ni bwege sana qwumma saaana
 
Back
Top Bottom