Godbless Lema Taifa linaongozwa na sauti yako tuliyoikataa

Sipingi madai yako ila napenda mamb yaende kwa evidence, issue ya CAG ilitaja mpaka CCM na wengine. Issue ya watu wanaohama vyama.. nikufundishe tu usije ukawaamin hao refer lijuakali, zito, sumaye, lowasa, nyalandu na wengine. Ni vzr ukaweka angalau kwa uchache hao wachaga waliopo kweny kamati kuu ya CDM angalau nusu yake.
Mkuu hawana ofisi wanayomiliki, nyingi wamepewa msaada na kupanga. Ikiwa makao makuu ni kama 'kibanda umiza' itakuaje huko mikoani?

Kuhusu ripoti za matumizi ya ruzuku mie sina. Ila report ya CAG mwaka huu imeonesha matumizi yasiyo na ushahidi wa mamilioni ya shilingi. Hii nenda hata Google utaipata ushahidi wa ripoti ya CAG kwa vyama vya siasa. Ushahidi mwingine, rejea maneno ya lijua likali.

Kuhusu ukabila, nisamehe kama nimeelewa vibaya. Mie si makabila ila pale CDM walizidi kuwekana wachaga au wakaskazini.



Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
61 Reactions
Reply
Back
Top Bottom