Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

''Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti kituo kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa,sijaelezwa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana,lakini nafikiri kupigania haki ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. MSIOGOPE. ''

Hilo neno limeandikwa mara 365 katika Biblia hivyo litumike vizuri. MSIOGOPE!
 
Ndio maana wengine kamwe hatuwezi kufurahia huu utawala.

Tweet ya Lema kuwa ataongea tena na media baada ya kuahirisha kuongea jana na kwamba yuko teyari kubeba gharama, huenda ndio chanzo cha yote haya (sijui wameamua kumuwahi?).

Lema ali-tweet jana kuwa swala zima la kutekwa na kupatikana kwa Mo limejaa wasiwasi na yeye kama Mbunge ataongea na kwamba yuko teyari kulipa gharama.

Wanaweza kumsafirisha kumpeleka Dar usiku huu hivyo ni bora aende amejiandaa kisaikolojia.

Hata hivyo, kwa wito wa simu,msije kushangaa akafika kituoni alafu wakakana kumuhitaji.
Lema ni shujaa .
 
Katika watanzania zaidi ya 50mil wewe Lema ndio unajua kupigania haki! Aogope nani zaidi ya familia yako wanaokutegemea wasije wakakosa mahitaji!
 
''Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti kituo kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa,sijaelezwa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana,lakini nafikiri kupigania haki ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. MSIOGOPE. ''

Alienda nitamdharau, wamfuate na kama kuna ishu wafuate taratibu wamuandikie notice ya kumuita sio mnaitana tu kwenye simu kienyeji. Awaambie hayupo Arusha.
 
Hivi zile issue za kukwapua magari zilikuwaga ni kweli au sound?
Serikali dhaifu imeshindwa kumkamata na kumfungulia mashtaka, kwa sababu siyo kweli.ni sound. Labda jinga lao linaweza mfungulia mashtaka.
 
Mh. Lema, ni mwanasiasa kijana mahiri anaejitambua. Tupeni updates.
 
Back
Top Bottom