Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,321
- 7,392
Anayalalamikia masaburi yakoSasa huyo Lema anamlalamikia nani?
Anayalalamikia masaburi yakoSasa huyo Lema anamlalamikia nani?
Du, Mr. Concord vipi kila saa unafikiria masaburi yako?Anayalalamikia masaburi yako
Nataka nikuchape nao wewe ajuzaDu, Mr. Concord vipi kila saa unafikiria masaburi yako?
Huyo kijana wa Chigoma!! hahahaaaa aliwaambia wakija wataona bwawa tuu [emoji23] [emoji23]Wanaanza na Lema Baadae ndio Zitto
Kwani ukiona moshi kinachofuata si moto?umeshajua kaitiwa nini?
Masikini, wameshamzingira.''Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti kituo kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa,sijaelezwa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana,lakini nafikiri kupigania haki ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. MSIOGOPE. ''
Rekodi yake ya uhalifu unaifahamu?Kwani ukiona moshi kinachofuata si moto?
Kesi zinakuwa mahakamani au polisi?? Kama wewe unajua hiyo rekodi yake si uende police?Rekodi yake ya uhalifu unaifahamu?
Kesi zake keshazimaliza?
Tangu Zitto alipohusishwa na kuihujumu CDM kwa kushirikiana na kitengo simwamini tena. Kama kauli na maandishi anayotoa yangetolewa na mwanasiasa toka chadema, angekamatwa na dhamana angenyimwa .Naamini bado anashirikiana na kitengo.