Wee si umesema ni mwana CCM sasa watawatoa akina nani pangoni? Umeongopa kwenye mada yako umekmatiwa huku, kweli njia ya muongo fupiWewe mnafiki mkubwa wote wapo subirini mwakani wawatoe pangoni sasa
Watakuwa wanaandaa tindikali, uchaguzi unakaribiaNajiuliza siasa za hawa wabunge zimeishia wapi ambapo mmojawao alishafikishwa katika vyombo vya usalama kwa kumtolea raisi maneno ya kichochezi na mwingine alifikishwa kwa kumtolea waziri mkuu maneno ya kichochezi wakati wa mijadala bungeni.
Ukimya huu bila shaka unaonyesha walikamilisha kazi walizotumwa na chama chao na sasa wameingia msituni kujipanga.
Ama kweli debe tupu haliachi kuvuma! Sijui wanajipanga na uwongo gani kwa sasa hao watumwa wa chama walioingia mafichoni. Hii inadhihirisha ni jinsi gani wananchi wanafanya makosa katika chaguzi. Kwa tasfsiri makini ni kwamba Jimbo La Arusha Mjini lipo wazi tangu 2010 maana mbunge hakuna alichokifanya cha maendeleo kwa jimbo lake. Wananchi tusirudie makosa. Kuna mshirika mmoja wa G. Lema ameachana na siasa ameaanza kulaghai kwa kivuli cha Uchungaji. Tuwe makini na watu wenye njaa kali.
Sugu ameandamwa sana na ombwe la kumuacha mazazi mwenzake, atakuwa anaona aibu
Hivi sugu anawezaje kuwa na ujasiri wa kumtukana Waziri mkuuu lakini kakosa ujasiri wa kukaa na mke?Sugu ameandamwa sana na ombwe la kumuacha mazazi mwenzake, atakuwa anaona aibu
Teh teh teh, mkuu unaweza kuwa umesema kweli. Wakitoka huku wanakuja na matusi kibao na kuwaacha wake zaoWako mapango ya Amboni Tanga wanavuta bange.
Maliberari mnajuana wenyewe kama ndoa yake imevunjika kwa ajili yako, mpelekee tu au hata mama yako siyo mbaya.Vp nawe wamtaka kamamda Sugu akubukuny.ue?
Najiuliza siasa za hawa wabunge zimeishia wapi ambapo mmojawao alishafikishwa katika vyombo vya usalama kwa kumtolea raisi maneno ya kichochezi na mwingine alifikishwa kwa kumtolea waziri mkuu maneno ya kichochezi wakati wa mijadala bungeni.
Ukimya huu bila shaka unaonyesha walikamilisha kazi walizotumwa na chama chao na sasa wameingia msituni kujipanga.
Ama kweli debe tupu haliachi kuvuma! Sijui wanajipanga na uwongo gani kwa sasa hao watumwa wa chama walioingia mafichoni. Hii inadhihirisha ni jinsi gani wananchi wanafanya makosa katika chaguzi. Kwa tasfsiri makini ni kwamba Jimbo La Arusha Mjini lipo wazi tangu 2010 maana mbunge hakuna alichokifanya cha maendeleo kwa jimbo lake. Wananchi tusirudie makosa. Kuna mshirika mmoja wa G. Lema ameachana na siasa ameaanza kulaghai kwa kivuli cha Uchungaji. Tuwe makini na watu wenye njaa kali.
DOGO UKUBWA WA LEMA PALE ARACHUGA HAKUNA ASIYEUFAHAMU , MAFISADI WOTE wakimuONA TU WANADEBWEDEKA ! SUGU NI RAIS WA MBEYA , KWA UFAFANUZI ZAIDI MUULIZE KANDORO .
una laana wewe mjinga.....tafta kazi ya kufanya wenzako tunazoSugu ameandamwa sana na ombwe la kumuacha mazazi mwenzake, atakuwa anaona aibu
nasema nipo huku ccm kimwili kiakili nipo Chadema chama makini sana na imara mno kuliko wakati wowote. Nimekutana na sugu juzi akanipa ratiba ya slaa hivyo namngoja kwa hamu nimwage mbivu na..... Malizia kondoo weweWee si umesema ni mwana CCM sasa watawatoa akina nani pangoni? Umeongopa kwenye mada yako umekmatiwa huku, kweli njia ya muongo fupi
upo arusha wewe? Lema engine kubwa itawatumbua Lumumba ninyi.umeshasema PALE arusha, so tuache tuliopo arusha twamjua hajafanya lolote la maendeleo labda la maendeleo kwake ni kuuza ambulance ya wagonjwa.
Sugu ameandamwa sana na ombwe la kumuacha mazazi mwenzake, atakuwa anaona aibu