Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Kuna wakati huwezi kujua ni kitu gani unapaswa kuandika tena juu ya uonevu. Wengi wanasema tunalia ovyo,wengine wanasema tumekuwa waoga sana,sifa hizi zinaweza kuonekana ni zetu kwa sasa lakini sina uhakika kama zinaweza kuishi na jamii yetu kwa muda mrefu.