maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
point ipi unaitaka
Watu wamekariri kuwa ukiwa unaongea sana ni lazima uwe mwana siasa.Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Labda KIBAJAJIMbunge gani wa CCM anaehutubia kwa akili..??
Mapungufu ya LEMA ni ya kujitakia na tena ni ya kipuuzi kabsa.......KUTUKANA huwezi sema hayo ni MAPUNGUFU ya kibinadamu huo ni UHUNI KIWANGO CHA BANGIKama kuna watu wa ajabu basis na wewe umo kama unakubali mapungufu ya magu kwanini usikubali mapungufu ya lema pia au una double standard? Wote wana mapungufu sawa na binadamu wengine iweje ukubali ya mmoja aukatae ya mwengine
It's shame
Tatizo ana mapungufu ya kitoto na yanakera mno,hii inafanya tuone hana mapungufu ila ana makusudi na roho ya kwanini bila kusahau visasi!Hata mimi ningekuwa ni RAIS wa nchi hii...kamwe nisingetoa ushirikiano kwa KWA MBUNGE kama LEMA.....
Huyu jamaa ana wagharimu sana WANA ARUSHA MJINI kupitia hizi aina zake za SIASA ZA kipuuzi....zinge mlipa sana kama angezitumia kipindi cha JK lakini si kwa MAGUFULI...Maana MAGUFULI analitumikia hili TAIFA inavyotakiwa ingawa nae ana mapungufu yake ya hapa na hili la MAPUNGUFU si jambo la AJABU maaana BINADAMU tumeumbwa si timilifu
Punguza wivu we bidada Lema Ana mkeweUkisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Na ww jaribu tukuoneUkisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
mkuu lema ni no school hivyo huwezi kumdai vyeti utaonekana hamnazo, ni sawa na kumtaka bubu aongee......haiwezekani!Nilifikiri unasema amefoji vyeti..
Hebu hutubia wewe tuone point zako kama za sizonje.
Roho za wanaccm zinawauma sana kuona Lema anadunda mtaani. Lema piga kazi achana na matapeli.
Ukidai haki kwa watu waovu lazima uumie. Mungu yupo pamoja nawe ni Mandela wa Tanzania. Walifikiri ccm kukufunga watakukomesha kumbe wamejikomesha