YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?