lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,144
Lakini hajafoji vyeti.. Si ndio??mkuu lema ni no school hivyo huwezi kumdai vyeti utaonekana hamnazo, ni sawa na kumtaka bubu aongee......haiwezekani!
Lakini hajafoji vyeti.. Si ndio??mkuu lema ni no school hivyo huwezi kumdai vyeti utaonekana hamnazo, ni sawa na kumtaka bubu aongee......haiwezekani!
Nikweli lema hana mtiririko mzuri kwenye hotuba zake ingawa wana arusha wanamuelewa, wakati mwingne ukimsikiza kama ni kwa njia ya redio unaweza kudhani ni mkutano wa injili!Ulichoandika ni uharo tu, bora hotuba za GL mara billion elfu mia...
Mbunge gani wa CCM anaehutubia kwa akili..??
Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Huyu utamuonea bure mkuu, huyu kazi yake ni maalum kwa makamanda maalum!Na huyo wwma spade(sepetu kwa kiswahili) ndo kabisa hajui anachoongea
Watu wamekariri kuwa ukiwa unaongea sana ni lazima uwe mwana siasa.
Kweli tupu.Yaani kwa Tanzania ya leo hakuna kama Magu wote wengine wanachapia tu.Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Kwa hiyo..??Nikweli lema hana mtiririko mzuri kwenye hotuba zake ingawa wana arusha wanamuelewa, wakati mwingne ukimsikiza kama ni kwa njia ya redio unaweza kudhani ni mkutano wa injili!
Mbunge wa Mtera a.k.a KibajajiMbunge gani wa CCM anaehutubia kwa akili..??
Huo ni wivu tu unawasumbua. Polen sana kwa kuhaibika. Lema ndiyo rais wa A. Mlitaka aendelee kusota jera? Safi lema piga kazi. Achana na mabashitemkuu lema ni no school hivyo huwezi kumdai vyeti utaonekana hamnazo, ni sawa na kumtaka bubu aongee......haiwezekani!
Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
kama watu wa arusha hadi sasa hawajagundua godbless lema ni kanjanja wa kiana fulani watajuta. ukiona mtu anakimbilia vitabu vya dini kila wakati kujenga hoja ya kisiasa jua hawezi mjadala na analazimisha hoja yake. juzi nilimsikia akisema ataanzisha kanisa aliite godbless church. ingefaa aanzishe kwani siasa hawezi ila la msingi lisiwe kanisa feki kama la gwajima.Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Livingstone lusinde [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbunge gani wa CCM anaehutubia kwa akili..??