Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo
Wewe ni shabiki mpuuzi. Kama ni bangi nusu ya wabunge wanavuta. Ni pamoja na wanaosema wenzao wanajamba bungeni. Wengine ni wale wanaotaka kuwatunga uzi wa nyuma wenzao tena kwa taratibu. Wengine ni wale wanaotumia the four letter word. Lakini wengine ni wale wanaodai kule mjengoni kuna watu wenye mimba zisizotarajiwa kana kwamba yeye ni mume au mkunga wao. Tena hao ni baadhi tu.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Alihojiwa jana baada ya kutoka bungeni...inamaana leo ndio angeingia bungeni.je ameingia?
Narudia tena alihojiwa jana na taarifa imetolewa leo.
Sio kwamba kesho anakwenda bungeni..yaani kesho(leo) ndio alikuwa anamaanisha lema
je ameingia bungeni???
 
Ushauri wa bure tu, Lema angeelekeza nguvu zake kwenye uzinduzi wa kanda ya kati hiyo jmosi. Tusifike mahali tukawapa credit wasizostahili magamba. Wakijaribu kuzuia mkutano wetu huo, tutakuwa tumepata pa kuanzia.
 
bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo

nikweli tumechoka na ****** wa ccm wanaunza nchi halafu mipumbavu kama wewe hulioni hilo..
 
Cha arusha noma ; sijui nani ana cha musoma
 
Wajinga wanaombeza Lema ni wapuuzi kama enzi za wayahudi waliomsulubu yesu, hawajitambui akili zao zimeganda yote kwa yote CHADEMA ndio bunge wengine mashuzi na madenda, vitambi vya ovyo na kukalili mfumo wa ndio mzee.
 
kiukweli mi pia nashangaa nikanun gan inayoweka ukomo utaratibu na mwongozO
NDUGAI AWAJIBISHWE
 
Kuwemo na kutokuwemo bungeni ni sawa tu...labda sasa tutawasikia na kina Mrema,Hamad Rashid,Cheyo na wengineo maana kimya mno....
 
Nimeangalia bunge naona CCM imekuwa kambi rasmi ya upinzani na Mwigulu Nchemba ndio kiongozi wa kambi ya upinzani na Mzee Wassira mnadhimu mkuu na Likuvu naibu Mnadhimu Mkuu. Kwani CCM imepandwa na shetwani gani hadi wanasahau kuwa wao ndio chama tawala. Nyie CHADEMA ni noma, kwa nini mnawapinduapindua wenzenu hivyo? Au ndio kinyume cha Impotency?
 

wewe ni lena kisiasa ni bora ukae kimya
 
Bunge limegeuka kigenge cha wa wahuni waleta vioja na si wajenga hoja na kujadili mambo ya maana.
Yote haya yanatokea wakati huu karibu na kampeni za kitaifa kuelekea ikulu.
Maslah ya wananchi pembeni ni vurugu mtindo mmoja kuelekea ikulu.
 
Haki aiombwi inapiganiwa ukombozi umekaribia big up makamanda

kwa akili za dizaini hii ndo tutarajie one Tz iwe nchi tajiri inayojitegemea?thubutuuuu!!!!cdm,hivi ikitokea chizi kapita mtoni we unaoga kwa kujiachia akachukua nguo zako na wewe ukatoka mbio kumfukuza ukiwa uchi kati yenu jamii itamwona nani chizi?
 
Duh hawa jamaa sijui wanaipeleka wapi nchi yetu ni siasa za bangi namna hii.

katika maisha yangu yoote sijawahi kumuona juha na mpumbavu kama wewe ni ninadha utakuwa wakwanza na wa mwisho katika historia ya maisha yangu shame on u!nenda shule kwanza coz inaonesha hata elimu yako ni ndogo sana ndugu ndo mana hata kuchuja mambo hujui umekaa kishabiki kushadadia mabwana zako.
 
aisee nimeipenda sana hiyo kauli. M4C kiboko! umewashika ccm pabaya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…