Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha


Kweli wewe ni "Mama porojo" kama lilivyo jina lako. Hivi CHADEMA haina NEMBO ya Chama kwenye "Headed letter" zake?!!
 

Kwahiyo ulitaka maelezo kutoka kwa nani kama siyo ArDF au unayaamini maneno ya Mwigulu, Je Kwenye development Foundation ya meremeta mlisha leta ripoti...
 
napenda sana vitu vyenye uthibitisho ila ndg ungetype kwani tunaotumia cm hatuwezi kusoma.
 
NIMECHUKUA HAYA MAWILI; mh lema ww binafsi toa majibu ya ukweli / majungu ya haya , 1, uwanja kwa ajili ya ujenzi wa hospitali. 2, trekta . majibu yako ni muhimu kuliko vizuizi au majibu ya jumlajumla ya mashabiki wako wanaotaka mabadiliko ya haki na maendeleo toka CCM na kuzuia UOZO ndani ya CDM
 

Kwenye hiyo List nimeliona Jina la mtu aliyenitapeli Sh Milion Moja akijitokeza tu natia mbaroni!
 
Huna lolote na tutangoa mpaka mizizi...
 

Mkuu @lufungulo majibu yaliyoko hapa chini hujalizika unataka lema aje aelezee kwanini usimtake angalau kikwete aelezee juu ya meremeta maana hiyo ni haki yetu watanzania, tumekomalia swala la Lema kuahidi kiwanja na kujenga hospitali na sasa tuna hoji kama imeandikwa jina gani utafikili tulipa hizo pesa...
 
kwa uyo utasubiri sana kama wafuasi wa kibwetere, hamna kitu anajua zaidi ya utunzi kama wa shigongo.


Si huyu tu kuna wengi humu ndani.Lakini wanacho sahau ni kwamba CHADEMA itaendelea kuchanga Mbuga.
Watanzania wa leo si wa 1995.
Ukisoma hadhi iliyomo ndani ya hiki kinachodaiwa kuwa tuhuma utaona jinsi gani ni porojo za Mgahawani.

Mimi naomba Tumaini M. au DR Slaa aje hapa aseme amepokea hizi hadhi au la! Nje ya hapo tunapoteza muda wetu bure badala ya kujadili mambo muhimu tutabaki kujadili fikra mfuu za wachumia matumbo wa LUMUMBA street.
 
Hivi bado kuna vijana wanaohadaika kuwa wataletewa maendeleo na chadema?
 
Viwanja vya Burka vitolewa yeye sio mbunge, asingeweza kuomba kwa waarusha wapi?

 
Majungu hayajengi !

Leo kwa Lema ndiyo yamekuwa majungu siyo? Vipi alipoleta majungu kwa madiwani mpaka wakafukuzwa uanachama halafu anasema hii ndiyo siasa. Siasa ya kutojiamini unasingizia watu uongo halafu eti unasema unakesha kanisani kuomba. Kwa Lema mbona mtaona na kuyasikia mengi....
 
Haya majibu ni mepesi mno halafu hii barua imeandikiwa kamati kuu sio huyu kizabizabina anaekereketwa kuja hapa kuijibia kamati kuu na Lema.
 

Mapambano ya kutafuta haki nimeamini ni magumu. Heri ujasiri wa kuitafuta haki kwa niaba ya watu wako kuliko uoga wa kuiangamiza jamii yako,
 
mhh!!!,aya mmoja wa makatibu wenezi,ata ivo ID yako inaonyesha ivo uku!
 
hujasoma na kuelewa ndio maana hujaona uzito wa kashfa hizo.

Lets hiyo kashfa ni ya kweli, what do you care? As for you hiyo kwake ingekuwa ni loop hole and a golden chance ya kufanya attacks si mahali wali jukwaa lako la kutolea consultation.
 
Waliotunga huu waraka ni wahuni, kwanza wameingiza majina ya watu safi ambao wakiyaona majina yao humu wanaweza kuchanganyikiwa! Halafu baadhi yao humo walishafukuzwa uwanachama! Kifupi ni watu dhaifu hawana ushawishi wowote hapa Arusha!
 
Kweli wewe ni "Mama porojo" kama lilivyo jina lako. Hivi CHADEMA haina NEMBO ya Chama kwenye "Headed letter" zake?!!

angalia tuhuma achana na nembo.... nembo si tuhuma.
 
Waliotunga huu waraka ni wahuni, kwanza wameingiza majina ya watu safi ambao wakiyaona majina yao humu wanaweza kuchanganyikiwa! Halafu baadhi yao humo walishafukuzwa uwanachama! Kifupi ni watu dhaifu hawana ushawishi wowote hapa Arusha!

wataje watu safi tuanze kuwasafisha mmoja mmoja na walifuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…