Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Inasikitisha sana wakazi wa Arusha tegemeo lao ni Lema. Hana sifa yoyote ya kuwa kiongozi.
 

Maumivu yameisha? chezea CDM weye"
 
njaa @ work - hadi 2015 tutasikia mengi tuwe na subira.
 
Huo ni unfki wa waz waz, inaelekea kurudishiwa ubunge imekuuma eeh! peleka huko umbeya wako kwanza ww hata arusha huijuh!!!!
 
Mkuu Kakado,unasema Lema hafai kuwa kiongozi!!!hapo arusha alipataje ubunge??au aliteuliwa??fika mahali embe iitwe embe na chungwa liitwe chungwa lakini kuita chungwa embe si sawa.wadhani JK anafaa kuitwa kiongozi??amepelekewa majina na ushahidi wa wala rushwa na wauza madawa ya kulevya amechukuwa hatua yoyote??AU NITAJIE mtu mwenye madaraka ya juu iwe ccm na serikali yake anaefaa kuitwa kiongozi nyumba yako inaungua unainyooshea kidole nyumba ya mwenzio.
 
jambo linalosikitisha ni baadhi kutoka kwenye mada kuu.

Nani kasema chadema si chama makini.

Waraka uko wazi na unahitaji majibu
 

sawa amepeleka makao makuu, ninachouliza ni kwamba alipewa majibu gani makao makuu.
Hii barua haijafika makao makuu, ni uharo tu kaamua kuharishia humu!
suppose nami naandika barua eti kwa rais, hakuna verification yoyote inayotjibitisha hii barua imekuwa submitted ikulu, afu nakuja kupost humu ndo tuanze kupoteza muda kujadili ushenzi
 

Hakuna haja ya kusema LEMA hafai kuwa kiongozi bali ana kashfa hizo ndani ya waraka Je anafaa kuendelea kuaminiwa kama hatatupa majibu?
 

taasisi yenu imeshasambaratika hakuna document zozote!
poor Mtela Mwampamba,
poor Juliana Shonza
poor Zitto
poor TUNTEMEKE
 
Last edited by a moderator:
Nimeona kuna kila dalili za majeruhi wa uchaguzi 2010,ubunge wa lema na uwezo wake wa kusimamia maadili ndio tatizo.
 
mama porojo usiwe mfuasi (mtu asiye jitambua) izi tuhuma hajasingiziwa it is fact usitetee uovu lema hatufai wana arusha
 
Hakuna haja ya kusema LEMA hafai kuwa kiongozi bali ana kashfa hizo ndani ya waraka Je anafaa kuendelea kuaminiwa kama hatatupa majibu?

Hakuna kashfa hapo!
Mmeanzisha vioja vya ajabu hata hamjajiandaa poor you
 

ailete kwa baba na mama yako au JF?..za ccm huwa mnaleta
 
Hakuna haja ya kusema LEMA hafai kuwa kiongozi bali ana kashfa hizo ndani ya waraka Je anafaa kuendelea kuaminiwa kama hatatupa majibu?

anafaa kuaminiwa hizo tuhuma za kupikwa barua imejaa majungu
 
Naona Mods wamechoka kufunika madudu ya lema manake kila kukicha yanaanikwa hapa. wamefuta thread za kubaka weeee mpaka wamechoka
jamaa asijejidanganya kupanda ndege kwenda EUROPE
ARREST WARRANT IMEISHATOLEWA AKIONEKANA NCHI YOYOTE EUROPE LEMA AMEKWISHA
 
maisha ya wana arusha ayako kwenye akili ya manadamu tuli mcha gua lema kwa nguvu za mungu kwa usemi wa sauti ya wengi ni sauti ya mungu na mungu alie tupa lema ata tuonyesha mbivu na mbichi mli mvua ubunge mka zani mli mpa nyie ubunge na mungu alie mpa ubunge aka mludishia ubunge sasa endeleeni nakazi za kishetani mki fikilia tumbo leo na kuacha kufikiri kesho :A S soccer: mpira wana upiga wengi gori ana funga mmoja
 
Tuwekee hati ya kiwanja hapa ili kuondoa utata simple as that watu waone jina la kiwanja na hata ikibidi weka michoro kwani kuna siri gani hapa?
huu ndiyo ujinga wa CCM tuhuma mlete nyie halafu ushahi tulete chadema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…