Mama mambo mengi mbona tuna rudia rudia au hakuna kazi za kufanya hebu jipe muda pitia thread hiimada haijasema LEMA hapendwi Arusha bali inamtuhumu ana kashfa huku akijificha kwenye kivuli cha umaarufu na kupendwa.
kiongozi
nashukuru kwa maelekezo mazuri,lakini naomba ondoa shaka,maana maoni ni maoni,kila mtu anahaki ya kusema lolote lile jinsi aonavyo inafaa na jinsi alivyoielewa mada husika,yale ni maoni yangu na hakuna sehemu niliyoweka shaka na ndio maoni yalivyo.
kama haya yaliongelewa humu basi sikuyaona na ningeyaona labda nimgekuwa na maoni tofauti,maana maoni yangu huwa si ya kulaumu mtu na kupendelea mtu kwa upendo nilionao kwake,napenda kutoa maoni nikiwa huru pasi ya kufungamana na jambo lolote lile.
na ndio maana nikasema kama sikweli walioandika hayo wachukuliwe hatua stahiki,huku liona hili,umeliona lile la kama ni kweli sheria,taratibu na kanuni za chama zichukue mkondo wake baada ya uchunguzi,kwa nini umeliona hili la pili na hukuliona lile la kwanza?
Kwa watu wenye akili timamu ukisoma na kama ni mfatiliaji wa maswala ya kisiasa hasa za Arusha hakika hakika Lema ataendela kuwa tesa na ameahidi mwaka huu ni kufa au kupona atawakimbiza nyie mamafala mpaka mkome yaani ni yeye na CCM...LEMA kapatikana akitaka kutegua hiki kitendawili bora ajitokeze kutoa majibu ya tuhuma hizi kabla hazijasambaa na kuaminika zaidi.
unaweza kupitia hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...jili-ya-kujenga-hospital-ya-wazazi-print.html
CCM wako kwenye harakati za kuichafua chadema lakini hawataweza kama wako makini serikali si iko chini ya CCM si waweke hati ya eneo husika tujue...
shukrani
nimekusoma kiongozi,mti wenye matunda matamu hutupiwa mawe kila wakati,hizo ni changamoto,
Na tunaweza kudidimia zaidi kama nchi itatwaliwa na chama chenye mwenyekiti na katibu dhaifu asiyeweza kushughilika ufisadi ndani ya chama chake.
Chichim at work, ila kama ni kweli maana jama wameleza kwa uzuri ili makao makuu wafanyie kazi, Mm rai yangu naomba makao makuu chadema walifanyie kazi kwa haraka. Tunataka Lema atuletee maendeleo Ars sasa, ili CCM wazidi kukoma. Napenda kukwambia Lema sisi watu warusha hata ukitupangia siku ya usafi tu tutafanya usafi kwenye Jiji letu na utapata sifa sana. Pls Lema naomba tupangie siku ya usafi na tuko tyr kununua miti ili Jiji letu liepenze!! Watu tuko tyr kuchangia maendeleo lkn tatizo ninani wa kumpatia hiyo hela asimamie? Tufanye hata kila j'mosi.My Take: Chadema isipokuwa makini umaarufu wake utapungua kutokana na migogoro mingi inayokikumba chama hicho. Mwaka 2015 si mbali jahazi linaonekana kuyumba ukilinganisha na huko nyuma. Wengi wataumia ndani ya chama hicho kwani umaarufu wa mtu unakuwa juu ya chama. Hizi tuhuma dhidi ya Lema hazikijengi chama bali zinakibomoa. Arusha hali si shwari.
Zaidi, angalia attachments chini
Umeeleza vema sana lakiniumenipa wasiwasi kama hujui juu ya trekta, kiwanja kilichoko burka na watoto waangapi wanasomeshwa. kila binadamu ana mapungufu yake lakini kwa haya ni propaganda za CCM na karibu wote walioandika hiyo barua ni watu wa Bayo na Mallya kumbuka hawa watu tuliwafukuza kwa kupokea rushwa na kutu saliti kwenye mwafaka fake...Mimi kama mkazi wa Arusha na mpenda mabadiliko ya kweli, tuhuma zilizotolewa juu ya Lema ni nzito sana na zimewakilishwa makao makuu ya Chadema. kwanza Lema anatakiwa ajitafakari na kuona kama zinaukweli wowote, na kama zinaukweli basi hana budi kujirekebisha kwa maslahi ya chama, ya wananchi na wapenzi wa Chadema Arusha.
Pili Chadema tusilewe sifa tukajisahau kwamba siku zote tutaendelea kukaa juu, pale mtu anapokosea sisi kama wadau tunatakiwa tumrekebishe (kama Mwenyekiti Taifa- Mhe Mbowe anakubali kurekebishwa kwanini Lema akatae!).
Mtoa mada ameleta barua iliyotumwa makao makuu kama ilivyo ila inashangaza wadau tunaanza kumshambulia kama yeye ndio mwandishi wa hiyo barua. Tulitakiwa tuchambue yaliyoandikwa kama yana ukweli wowote ndio tutoe hoja, kubisha bila misingi inaashiria hatujakomaa kifikra.
kama Great Thinkers lazima tujiulize hicho kiwanja kimeandikishwa kwa jina gani? Je Trekta lipo na nani alishasaidiwa kulima? ambulance ipo wapi na nani ameshawahi kuiona? ArDF imeshapokea kiasi gani cha fedha na watoto wangapi wameshasaidiwa?
Tulianza na Mungu,tutamaliza na Mungu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.
Na kwa post hii una hesabiwa kule lumumba...Siku hizi PRO CHADEMA WA HAPA JF wakiambiwa ukweli unaowauma hutoa jibu moja tu..
MASALIA
Acha kutetea ujinga wewe kiongozi wako anatabia ya ukwapu kwapu.Hata Zombe alishawahi kuzungumza watu wakampuuza.
Siku hizi PRO CHADEMA WA HAPA JF wakiambiwa ukweli unaowauma hutoa jibu moja tu..
MASALIA
Ha ha ha ha...Funny....Sisi tunaongelea hali tuliyonayo sasa ivi na serikali hii ya Ma CCM wewe unaongelea "KAM.A" we have a long way to go kwa watu wenye akili kama zako.
Utakuja kuwasikia siku moja wakisema bin watch eight naye ni salia. Huyu watch eight alikosana na wenzake kwa sababu ya mgao tu hakuna lolote.