Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.
kama chabema haikufai hamia chauma au adc
Nilikwisha jua wewe huna kichwa una kifuu cha nazi chenye nywele kama JK anaetembeza bakuli huku anafanya ufisadi (wazi wazi) na kuua watu ili abaki madarakani. Baada ya kuweka rehani kusini kumuokoa mwanae bomba la gesi linamtokea puani. Usisahau Lema unayemzunguzia alimuanika JK wako kuingilia hukumu yake mahakama ya Arusha. Sasa kavamia hukumu ya igunga
Lema hachafuki na kifuu kama wewe na CCM yako dhaifu
tunachotaka,hasa wana Arusha ni kuondoa magamba madarakani,mambo mengine tutakusikiliza baada ya 2015
Huyo bin watch eight na double life yake hana lolote, ni magumashi tupu. Kawapata magumashi wenzake basi wanamuona eti ni super agent. Tanzania wajinga hawawezi kuisha kutapeliwa kimawazo. My day!
4.Tuhuma zenu are so cheap and very poorly structured kiasi kwamba hataanaye tuhumiwa hawezi kupatatabu ya namna ya kuwajibu.
Tunajua Lema Anawakera sana Wazee wa Lumumba ( Magamba) Kwakuwa tumeshajua ujinga wenu na upuuzi wenu na sisi tutawapuuza maana mjinga hajibiwi hujibiwa na mijinga mwenzake... Chadema ni Taasisi imara na itaendelea kuwa Imara na Kamwe haitatetereka, Lema kapitia Misukosuko mingi ya Kutengenezwa na CCM. Wanaojua ukweli wa hizo Propaganda ni Wananchi Wa Arusha na Siku zote waneendelea Kuwapuuza Vibaraka Wa CCM kama wewe Mleta Mada hapa.
Chadema Tutaendelea kuwapigania Watanzania wenzetu na Kamwe Hatutakatishwa Tamaa na Watu kama nyie.... Sahahuni kuhusu Arusha Kamwe hamuwezi kuwa na Mamlaka nako mtaendelea kuisikia tu arusha na wengine siku hizi mnajipendekeza ilimuweze kuingia Arusha na Kufanya mikutano... Ila hamtafanikiwa Tumewajua siku nyingi na Tumeutangazia Umma kuwa nyie ndiyo maadui wa Rasilimali za Umma. Mapambano yanendelea..... Tutashinda...
koh! koh!Lema ni janga la Taifa.
mkuu,wewe kweli unakipenda chadema au unafuata upepo jinsi unavyovuma mana huna hoja hata kidogo, umetawaliwa na mahaba ambayo hayatakusaidia huko mbele....chama kinastawi kwa kujikosoa sio kukumbatia maovu,au wewe ni gamba nini???
Lema ni janga la Taifa.
Lema ni janga la Taifa.
Mkuu hawa watu wa magamba wakitaka kujua Lema ni nani Arusha wawaulize kina mama sokoni, mamantilie, machinga, waendesha boda boda, waendesha taxi na watu woote wa kada ya chini watapata majibu!!!! Lema kwa hapa Arusha hawamuwezi, single yao ya mahakama imefeli hii ya kina mamaporojo haina lolote!!!!Mwacheni Lema afanye kazi ya ubunge mliyomzuia kwa miaka miwili tafadhari!!!!Tunajua Lema Anawakera sana Wazee wa Lumumba ( Magamba) Kwakuwa tumeshajua ujinga wenu na upuuzi wenu na sisi tutawapuuza maana mjinga hajibiwi hujibiwa na mijinga mwenzake... Chadema ni Taasisi imara na itaendelea kuwa Imara na Kamwe haitatetereka, Lema kapitia Misukosuko mingi ya Kutengenezwa na CCM. Wanaojua ukweli wa hizo Propaganda ni Wananchi Wa Arusha na Siku zote waneendelea Kuwapuuza Vibaraka Wa CCM kama wewe Mleta Mada hapa.
Chadema Tutaendelea kuwapigania Watanzania wenzetu na Kamwe Hatutakatishwa Tamaa na Watu kama nyie.... Sahahuni kuhusu Arusha Kamwe hamuwezi kuwa na Mamlaka nako mtaendelea kuisikia tu arusha na wengine siku hizi mnajipendekeza ilimuweze kuingia Arusha na Kufanya mikutano... Ila hamtafanikiwa Tumewajua siku nyingi na Tumeutangazia Umma kuwa nyie ndiyo maadui wa Rasilimali za Umma. Mapambano yanendelea..... Tutashinda...
kweli wewe unatumia kichwa kufugia nywele peke yake...
1.lema hajapewa kiwanja akajimilikisha????
2.hajapewa trekta kwa ajili ya wajane na yatima akaamua kulitumia kwa manufaa yake??
3. hawapingi makamanda wasomi kujiunga na kukijenga chama????
hajashawishi kuwafukuza uongozi na uanachama akina KREDO na kamanda MBOYA?????
unaongea nini wewe???? jibu hoja changia hoja... acha kubeba tu nazi hapo juu.
ndg yangu maporogo hyo document iliandikwa muda mrefu baada ya mgogoro ule wa madiwani Arusha. Na ulikuwa na lengo la kudhoofisha chama kutoka kwa madiwani waliofukuzwa na kukimbilia mahakamani. Hvy lengo lao lilikuwa kumshutumu lema kwa kile walichoamini kuwa ni yeye ndiye aliyesababisha kumbe riyo. Bt asante kwa docment yako kwa kuwa haukujua ilivokuwa.
Ha ha ha ha...Reallly? Sio kwamba tumefika hapa tulipo kama taifa kwa sababu ya Udhaifu wa Jakaya Mrisho kikwete.?