Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,578
- 7,281
Najiuliza Dr. yanamhusu vipi haya? Bado sipati jibu.Huu ujumbe pia unamuhusu Dr.Slaa.
Najiuliza Dr. yanamhusu vipi haya? Bado sipati jibu.Huu ujumbe pia unamuhusu Dr.Slaa.
Dr Slaa yule aliyesaliti misimamo yake na kwenda kuungana na aliowatuhumu kuwa wezi, wauaji wa raia wasio na hatia, mafisadi n.k huyu mzee nashangaa sana wanaompa hadhi ya kuwa mwanasiasa bora.Huu ujumbe pia unamuhusu Dr.Slaa.
Hujui usemalo.Napenda kumuita Lema ni mnafiki wa kiwango kikubwa sana, tena bora akakaa kimya. Yeye na viongozi wenzake wa cdm ndio walimpokea Lowassa baada ya kupokea hela yake na kumsafisha, leo ndio anatoka na lugha za kipuuzi eti shamba sijui ujinga gani.kwani walipompokea huku sisi tukisema ni makosa hayo anayosema leo alikuwa hayajui?
Hakuna kura wala idadi ya wabunge tuliopatiwa na Lowassa kwani alikuwa na miezi miwili tu ndani ya cdm, hata bila yeye cdm ingepata kura na viti vingi na chama kingebaki na heshima yake. Kama yeye ndio alileta hizo kura akiwa na miezi miwili, aliongeza wangapi akiwa na miaka mitatu ndani ya cdm? Acha upotoshaji.
So ulikuwa muita Marehemu?? Sasa karudi lilipo kaburi lake..Bado hamjasema,ongeeni yote,bila kusahau idadi ya wabunge na kura za urais alizowapatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote mwana mkosaji!Hoja ni lema ajabu unamahambulia Slaa!Ulikuwa hujazaliwa nini kipindi Slaa anawatahadharisha wazungusha mikono wenzako kumhusu El ewe mkosaji?!Dr Slaa yule aliyesaliti misimamo yake na kwenda kuungana na aliowatuhumu kuwa wezi, wauaji wa raia wasio na hatia, mafisadi n.k huyu mzee nashangaa sana wanaompa hadhi ya kuwa mwanasiasa bora.
Alipaswa aende kwenye vyama vingine vya upinzani ili kupata jukwaa la kutetea haki za wananchi ikiwamo katiba mpya kwa ajili ya ustawi wa taifa hili kwa miaka mingi ijayo, lakini cha ajabu akaenda kuungana na adui wa wananchi wa nchi hii aliokuwa akiwapigania kwa jasho na damu
Huwezi kuwa na misimamo ya kile unachokiamini halafu ukaenda kuungana na adui yako ili kuteketeza wale uliokuwa unawapigania, Slaa kwangu simtofautishi na hawa wapiga zumari la mfalme akina Msukuma, Lusinde, polepole, Mwakyembe n.k maana hawako kwa ajili ya wananchi ila wako kwa ajili ya kudhulumu wananchi haki zao
Kilichompeleka huko aliko leo yule mzee Slaa ni kwa sababu ya kupigania tumbo lake maana kaona miaka inasonga sana lakini mama mshumbusi bado anauhitaji ujana kwa nguvu kubwa, hivyo ili amridhishe na ndoa iendelee kuwa na furaha ni lazima apate kazi nzuri ya kumuingizia kipato kizuri zaidi, kwahiyo aliamua kuwa mnafiki wa misimamo yake ili apate alichokipata
Masikini hana kiapo, na unafiki unalipa hiki ndicho kilichotokea kwa Dr Slaa, huyu mzee alishindwa kufia misimamo yake kwa tamaa ya madaraka, japo kuondoka kwake Chadema ilikuwa katika utata mtupu ila hakuwa na uhalali wa kuungana na hawa maadui wa nchi hii, na hapa ndipo nilipomuona hana maana kabisa
Leo hii kuna matukio ya kuuawa watu, kutekwa watu, kushambuliwa watu, kuuawa raia kwenye vituo vya polisi lakini Dr Slaa yuko kimya kwa maana kwamba anayatetea maovu yote haya
Aliulizwa kuhusu tukio la kushambuliwa Lissu akasema ni tukio la kawaida sana wala halina upekee wowote, huyu mzee nilimuona mjinga sana kwa sababu angekuwa Chadema asingetoa kauli ile ya kufedhehesha sana, kwahiyo mzee Slaa leo hii anahalalisha maovu yote yanayotendeka nchi hii.
Na huyu naye vipi?Bado hamjasema,ongeeni yote,bila kusahau idadi ya wabunge na kura za urais alizowapatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabu anapata aliyesema mafisadi yanamkimbia... Sasa sijui atasemaje ndio yanarudi sasa.
Ulishawahi kuiona mahakama ya mafisadi?.. Rostam ndio JAJI sasa.Kabla Lowassa kwenda chadema Lema alisema ni baraka kwa Mungu kumzomea Lowassa hivi hizo baraka za Lema zikoje wataalamu wa baraka
Labda tumuulize mbowe!Mimi naomba niwaulize wana CCM wenzangu , Lowasa ni Fisadi au sio Fisadi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka kuhusu uamuzi wa aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa kurejea CCM.
Lema amedai kuwa uamuzi wa Lowassa unadhihirisha kuwa ameweka mbele maslahi yake binafsi kuliko mabadiliko aliyokuwa anayahubiri alipoingia Chadema.
Alidai kuwa Lowassa alifikia uamuzi huo ili kulinusuru shamba lake linaloshikiliwa Mkoani Tanga, shamba lake la mifugo linaloshikiliwa Dodoma pamoja na kumnusuru mkwewe Sioi Sumari na kifungo dhidi ya kesi inayomkabili.
Sumari anatuhumiwa kwa kula njama ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kughushi pamoja na utakatishaji wa fedha.
“Mtu huyu alitaka kuwa Rais, hali ya kisiasa ilivyo sasa watu wapo magerezani, wanapata misukosuko ya kibiashara, hawana cha kuipa CCM ili wapate ahueni, lakini kwa sababu yeye anacho cha kuwapa CCM ilia pate amani. Hajaona gharama ya kufanya hivyo,” Lema amekaririwa na Gazeti la Mwananchi
“Chadema imepata baraka kuondokewa na mtu kama huyu. Alikuja kwa ajili ya kutaka urais na sio mabadiliko aliyokuwa akiyanadi. Nchi inataka demokrasia, katiba mpya, sheria mpya na inakabiliwa na ubanaji wa vyombo vya habari… mwanasiasa makini hawezi kuungana na CCM,” aliongeza.
Lowassa alijiunga na Chadema mwaka 2015 baada ya jina lake kuondolewa kwenye kinyang’anyiro cha watu waliokuwa wakiwania nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Aligombea urais na kuleta ushindani mkubwa dhidi ya Dkt. John Magufuli wa CCM.
Juzi alipokewa na Dkt. Magufuli, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lowassa alieleza kwa ufupi kuwa amerejea nyumbani. Alipokewa katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Lema kaongea ushuzi.anajitekenya na kucheka mwenyeweMbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka kuhusu uamuzi wa aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa kurejea CCM.
Lema amedai kuwa uamuzi wa Lowassa unadhihirisha kuwa ameweka mbele maslahi yake binafsi kuliko mabadiliko aliyokuwa anayahubiri alipoingia Chadema.
Alidai kuwa Lowassa alifikia uamuzi huo ili kulinusuru shamba lake linaloshikiliwa Mkoani Tanga, shamba lake la mifugo linaloshikiliwa Dodoma pamoja na kumnusuru mkwewe Sioi Sumari na kifungo dhidi ya kesi inayomkabili.
Sumari anatuhumiwa kwa kula njama ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kughushi pamoja na utakatishaji wa fedha.
“Mtu huyu alitaka kuwa Rais, hali ya kisiasa ilivyo sasa watu wapo magerezani, wanapata misukosuko ya kibiashara, hawana cha kuipa CCM ili wapate ahueni, lakini kwa sababu yeye anacho cha kuwapa CCM ilia pate amani. Hajaona gharama ya kufanya hivyo,” Lema amekaririwa na Gazeti la Mwananchi
“Chadema imepata baraka kuondokewa na mtu kama huyu. Alikuja kwa ajili ya kutaka urais na sio mabadiliko aliyokuwa akiyanadi. Nchi inataka demokrasia, katiba mpya, sheria mpya na inakabiliwa na ubanaji wa vyombo vya habari… mwanasiasa makini hawezi kuungana na CCM,” aliongeza.
Lowassa alijiunga na Chadema mwaka 2015 baada ya jina lake kuondolewa kwenye kinyang’anyiro cha watu waliokuwa wakiwania nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Aligombea urais na kuleta ushindani mkubwa dhidi ya Dkt. John Magufuli wa CCM.
Juzi alipokewa na Dkt. Magufuli, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lowassa alieleza kwa ufupi kuwa amerejea nyumbani. Alipokewa katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Alisafishwa na chadema waliomuita fisadiMimi naomba niwaulize wana CCM wenzangu , Lowasa ni Fisadi au sio Fisadi?
Sent using Jamii Forums mobile app