1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Tatizo la wapinzani ni hilo!:
Wanakurupuka sana .
Ndio maana watu wanakosa Tofauti kati ya wapinzani na CCM.
Kwani wakikaa kimya watapata hasara yani?
Lowasa ni mtu aliyejijengea sifa kubwa sana.
Na pia ni Waziri mkuu mstaafu.
Vijana ndani ya Chadema na wabunge aina ya Lema wajifunze kuwaheshimu watu na kutoa lugha za staha kwa wazee waliolitumikia Taiga hili kwa amani kubwa.
Kwani angesema kuwa Lowasa ametumia Uhuru wake kuhama chama si ingetosha ?
Wekeni akiba ya maneno ndio maana watu wanawadharau kwa kauli zenu.
Jengeni Chama kilicho tofauti na CCM.
Onyesheni ukomavu wa kidemokrasia kuliko CCM.
Unyesheni kujali heshma na utu wa mwanadam kuliko CCM.
Onyesheni kujali haki za binadam kuliko CCM.
Onyesheni kuwaunganisha watanzania kuliko CCM.
Onyesheni kujali Uhuru wa watu kuliko CCM.
Onyesheni hekima na busara kuliko CCM ili tuamue kuchagua Sera na chama bora kuliko CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app