lema ametoka leo asubuhi na leo mchana atakua na mkutano Viwanja vya NMC kuongea na wapiga kura wake yale aliyoyaona gerezani,watu wa sehemu mbalimbali kutoka arusha wanaelekea huko,pikipiki zmejaa mitaa ya njiro zikiwa na bendera ya cdm
Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..
Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..
Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..
kaka huyo rafiki yako mwenye hoteli mbugani anaitwa nani?na alipewa kibali mwaka gani?Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..
Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..
Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..
Kwa taarifa nilizotumiwa hivi punde,eneo la Majengo barabara ya kuelekea Kisongo alipo shujaa wetu,kuna takribani pikipiki(boda boda) zaidi ya mia mbili zikisubiri kumlaki Kamanda Lema.
Mnaoelekea huko msisahau jani linaloitwa "Sale" kuelezea Amani na Ushindi wetu,mpka sasa hakuna taarifa ya Nzi,au mdudu mdogo kujeruhiwa au kufa.
ViVa CDM, ViVa Kamanda Lema,ViVa Arusha
HATA SASA TUNA USHINDI
Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..
Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..
Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..
Usitoe tuhuma nzito bila kuweka source pls. Mimi mbona ni dereva wa boda boda na sijapewa hiyo kitu aiseee acha urongo bana.
pole,itabidi Nepi akuongeze dau leo kwa sababu utakufa pressure.Leo ndio utajua Lema ni Mandela wa Tanzania.Jana nilikuwa Tanga lakini nimekuja Arusha usiku usiku kumuona Mandela leo.
Awaeleze yaliyomkuta gerezani.