Godbless Lema apata ajali

EEEE bwana kumnbe uchugazi umeanza kubadili tabia za wengi. Imeanzia kwa Lukuvi bungen na RITZ na yeye amekuwa na mawazo ya kiutu.

Mkuu Ritz ana ubinadamu sana ila huwa anapotoshwa na lizaboni na fayza
 
ana stress baada ya kujua harudi bungeni tena october anyway pole lema

Wewe mwaka huu itabidi urudi kwenu musoma maana kazi ya lumumba itapungua sana baada ya kuondolewa madarakani ccm yako
 
Hahaha. Watu wengine bhanaa. Yaani hujuma ya kisiasa ndo imewafanya wa overtake bila kuchukua tahadhari?

Wewe ulikuwepo sahemu ya ajali kujua kama ni overtake?
 
safi sana ! pongezi nyingi zikuendee Mungu kwa wema wako wa kuwaokoa wapiga kura kwenye suzuki na mbunge wao kiboko ya wasaliti prophet lema , Mungu oyeeee !!!

Safi sana kamanda,maneno yako yananifanya hata usingizi husipatikane mkuu
 
Kama Kagongwa Kichwani Kasahau Alichotaka Kwenda Sema Mjengoni Amtume Tu Nanyaro Akamwakilishe
 

Hata hivyo dereva wake nae amezidi ulevi atamuua kamanda
 
Natoa pole kwake na familia yake, Mungu awatunze .
 
Ni wewe kweli, Ritz unayetoa pole hizi kwa Lema? Asante kwa niaba ya Lema, huenda Mungu kaubadilisha moyo wako, kutoka moyo wa jiwe hadi kuwa moyo wa nyama! Karibu sana kamanda Litz!

ulitaka afurahi maisha ya mtu kupata ajali mwana ccm ni watu wema sana
 
Angekuwa ccm kapata hili janga upande wa pili wengi wangemdhihaki. Lakin wana ccm huweka itikad pemben na kujumuika pamoja, huo ni ukomavu ambao upande uleee inabid ujifunze
 
Mkuu wewe ndo unaanza kuleta hizo fikra, tulia majanga kama haya hayana itikadi. Tumshukuru Mungu mbunge wetu kapona.
 
Mungu ashukuriwe sana
 
Mungu ni mwema pole sana lema na wengine wote mliokuwepo tunaomba mungu azidi kuwapigania
 
Hili mbona kama kosa la dereva? Hiyo eskudo lazima alipe gari jipya huwezi endesha gari kilevi na kusababisha dhahama barabarani. Hawa madereva wa chadema unakuta wanaendesha magari kwa kasi utadhani wamebeba alshabaab.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…