johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,678
- 143,092
mbowe anaamini kwenye msamaha kuna baraka kuliko visasi.Na kwanini Mbowe hamfungulii mashitaka? Erythrocyte mshitakini huyu mhuni hta kama amepewa zawadi ya Ukatili alioufanya
😃😃😃Ndio maana nilikuwa najiuliza hili jina Byakanwa nimewahi kulisika wapi? Kumbe..
Usipanic 🤣🤣Vyeo vya shukrani
CCM imejaa takatakaUsipanic 🤣🤣
tatizo leni n hilo. tusema yasikiek mama asifanye hivyo. hawa ni waovuNgoja nikae kimya...
Unaweza kukuta Mwamba alishatoa baraka zoteCCM imejaa takataka
Unamsamehe shetani?mbowe anaamini kwenye msamaha kuna baraka kuliko visasi.
Bwashee relax😀😀Unamsamehe shetani?
upi huo mkuu,fungukaHuyu jamaa nina wasiwasi..
Kama ni waovu na wameteuliwa!!.. Mama hajui au sio muovu au hakutenda huo uovu kwa utashi wake..tatizo leni n hilo. tusema yasikiek mama asifanye hivyo. hawa ni waovu
Unafikiri ni jiwe NDIO alikua anarudiikiwa!!?Leo kateuliwa balozi kumpa shukrani kwa matendo yake maovu wakati wa magufuli.
Alifyeka shamba la Mbowe kama shetani vile na mbwembwe zote mbele ya video kuuhakikishia umma kuwa ni katili mfuasi wa Jiwe.
Mkuu wa Wilaya ya Hai, aamuru shamba la Freeman Mbowe la Mbogamboga liharibiwe, Mbowe alaani!
Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Hai ikiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo, Gellasius Byakanwa wamevamia shamba la mbunge wa jimbo hilo, Mh. Freeman Mbowe lililoko nyumbani kwake Machame na kuharibu miundo mbinu na mali pamoja na mboga mboga na mimea. Mh. Mbowe amezungumza na #Jahazi moja kwa...www.jamiiforums.com