Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

Wewe ndio mwenye muda wa kufuatilia mambo ya mtu sifuri kama Lema. Mimi habari za Lema nazisikia akikamatwa na polisi, akifikishwa mahamani, akifukuzwa kwenye maandamano au akipigwa virungu na mgambo otherwise huwa sijui taarifa zake na sizihitaji.

ZeMarcopolo acha fix wewe. Lema unamtambua na kumuogopa zaidi ya unavyomtambua na kumuogopa Dr. Dr. Dr. Kikwete. Kila anachokifanya ama kukisema unakifuatilia kwa ukaribu sana na hujawahi kuchoka kumuandika hapa JF. Sasa mtu unayemuandika kila kukicha utaachaje kumfahamu na kumfuatilia? au ndo kujidanganya kwenyewe huko?...
 
Last edited by a moderator:

Sawa kaka mkubwa nimekusoma.

Eee bwana kwanza leo mbona Mtoi sijamuona hewani siku nzima? Mzima kweli? Maana nasikia bei ya dawa ya ganzi imepanda ghafla madukani!
 
Sasa mkuu kamanda Mtoi anaingiaje hapa? Ndio kusema hujui kwamba Tanga iko mbali na Arusha?
 
Inabidi uulizie ulizie hali ya kamanda. Si unajua kule Tanga kijiji kizima chadema yeye peke yake, sasa hapo hata usalama wake siku kama hii ambayo mbunge wa chadema kachafua hali ya hewa bungeni unakuwa mashakani.

Hamna noma, tuko pamoja...
 
ZeMarcopolo acha fix wewe. Lema unamtambua na kumuogopa zaidi ya unavyomtambua na kumuogopa Dr. Dr. Dr. Kikwete. Kila anachokifanya ama kukisema unakifuatilia kwa ukaribu sana na hujawahi kuchoka kumuandika hapa JF. Sasa mtu unayemuandika kila kukicha utaachaje kumfahamu na kumfuatilia? au ndo kujidanganya kwenyewe huko?...

By the way ZeMarcopolo ni nani hata usipomtambua G Lema? Kama JK na EL wenyewe wanamtamtambua jinsi alivyomsambaratisha yule demu wao dr. waliyemkimbizia ubalozini Kenya!! Chezea kamanda Lema wewe!!
 
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema na Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema leo ameanza rasmi kazi ya kusambaratisha CCM Arusha.

Lema ambaye ameamua kutembelea kata zote za Jimbo la Arusha kabla ya kurudi bungeni wiki ijayo leo alikuwa katika kata ya Kimandolu na Kaloleni.

Katika kata hiyo aliyoanza kutembelea tangu asubuhi amefanikiwa kuzindua mashina 12 ya CHADEMA.Akizungumza na wanachama katika maeneo hayo Lema alielezea kwa kina uonevu uliofanywa na mkuu wa mkoa Magessa Mulongo dhidi yake na CHADEMA kwa ujumla.

Wachambuzi wa siasa za Arusha wanasema mpaka kumaliza ziara hii katika kata zote Lema atakuwa ameijeruhi vibaya CCM.

kata ya kati ni kama kituo cha police akiweka tawi atakuwa ameiteka arusha
 
kazindua na tawi la pale kijenge chini

"dhambi kubwa kuliko zote ni UOGA"
 
Ameshamalizana na Mwenyekiti wake wa wilaya?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hongera kamanda Lema tuko nyumas yako sis magemedari hakuna kulala sa ya ukombozi ni sasa.
 
Mlisha sema hapa JF kuwa CCM ilIsha teketezwa na Chadema Arusha? Lema ana teketeza CCM ipi? Au Arusha haija kombolewa?
 
ZeMarcopolo acha fix wewe. Lema unamtambua na kumuogopa zaidi ya unavyomtambua na kumuogopa Dr. Dr. Dr. Kikwete. Kila anachokifanya ama kukisema unakifuatilia kwa ukaribu sana na hujawahi kuchoka kumuandika hapa JF. Sasa mtu unayemuandika kila kukicha utaachaje kumfahamu na kumfuatilia? au ndo kujidanganya kwenyewe huko?...

Yani najuta kusoma na wewe una mshabikia Lema na ku praise mtu mbumbu ambae kaishia form 2????
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...
Eti mkuu ni kweli malipo buku saba kwa siku?
 
Back
Top Bottom