....Godbles Lema akirudi bungeni nakunywa sumu

....Godbles Lema akirudi bungeni nakunywa sumu

Status
Not open for further replies.
ni nanii, viroba bwana, this time around kilema harudi bungeni,

Ni utapi wa mlo au ni matatizo ya kuzaliwa njiti yanakusumbua babuu?...Mwambieni diwani wenu anywe sumu kama alivyoahidi we laiyoni...
 
Maccm ni malimbukeni....yanapayuka na kuropoka kama mapumbavu!
 
Katika kauli ambazo kwa kweli ziliwahi kunichefua ni hii iliyokua ikitolewa na Matthias Manga ambaye ni Diwani wa Kata ya MLANGARINE,(CCM) ktk Jimbo la Arumeru Magaribi.

Kwa wale wanaomjua vema,huyu ni Miongoni mwa Watu wanaotumiwa na Mzee Mamvi Mkoani Arusha kuhujumu Harakati za CHADEMA, na pia alitumika ktk chaguzi za ndani za CCM, Mkoani Arusha mwaka jana 2012 kuhakikisha kua Nafasi zote za juu,kuanzia Mkoani na Wilayani,haswa Wilaya ya Arusha Mjini hachaguliwi mtu asiekua Mzaliwa wa Asili wa Mkoa wa Arusha. Na kauli mbiu yao ilikuwa Nyumbani kwanza.!!

Ikumbukwe kuwa, Magamba yalikua na uhakika 100% kwamba Lemma angeshindwa Rufaa na Kupelekea, Uchaguzi kurudiwa.! Matthias Manga,na Phelemon Mollel Mkurugenzi,BANDIA wa Monaban kwa kutumiwa walianzisha Mikutano iliyojulikana,kama MAA!! yaani Harakati za Wamasai(Waarusha)kushika Nyadhifa zote za Kisiasa na Kiuongozi Mkoani Arusha.! Haswa Ubunge na Udiwani, ndipo Kikao cha Kwanza kilikaa Mwezi wa 8,maeneo ya Nanenane Njiro, kikao cha pili kilifanyika Maeneo ya Kaloleni mwezi wa 10,na cha Tatu kilifanyika mwezi wa 12,maeneo ya Ngaramtoni TPRI ukumbi wa Wakorea! Mikutano yote iliratibiwa na MATHIAS MANGA wakishirikiana,na PHELEMON MOLLEL.

Mwenyekiti wa Mikutano alilikuwa ni Phelemon Mollel (Ushahidi upo)..pale ndipo maneno ya Kusema Lemma akirudi Bungeni nakunywa sumu! yalikuwa yakitamkwa..Lakini baada ya Mahakama Kuu ya Rufani chini ya Majaji watatu,Kufutilia mbali Hukumu ile,na Kumrudishia Mrufani(Lemma) Ubunge, Vile Vikao vya MAA (Vya Ubaguzi wa Kikabila) vilikufa,! Na bwana Matthias Manga Diwani wa Mlangarin,kwa Aibu ya Ahadi aloyoitoa ya Kunywa Sumu japo hakufanya hivyo baada ya Lemma kurudishiwa Ubunge! Aliwanunua Vijana Usiku wa tar 31-12 2012,na kwenda kuzivunja na kuziharibu baadhi ya Ofisi na Matawi ya CHADEMA! ktk Kata anayoiongoza.

Huyu Ndie Matthias Manga, Diwani wa Mlangarine aliyeapa kwamba Jembe Lema akirudi Bungeni Anakunywa Sumu.


Lema ni jembe? hebu fafanua!..au mtu akijua kuropoka sana na kupayuka ndio anaitwa jembe?
 
lema karudi bungeni,huyo jamaa hajanywa bado sumu?na anangoja nini??/
 
Wana ccm kutotimiza ahadi zao ndo kawaida yao, JK grid ya taifa Ruvuma hata mkakati yakinifu bado, kule ziwa nyasa meli bado, Ludewa barabara ya Lami hakuna, NA HUYU DIWANI NAYE SUMU BADO HAJANYWA.... Yaani wote niwaongo waongo tu.....
 
Lema ni jembe? hebu fafanua!..au mtu akijua kuropoka sana na kupayuka ndio anaitwa jembe?
Magamba wenzio kila wakilala wanamuota Lema. kuna wakati hata mlevi huropoka ukweli!!!!!..... amka acha kunywa bangi
 
Huyu mwenda wazimu Matthias Manga, Diwani wa Mlangarine aliyeapa kwamba Jembe Lema akirudi Bungeni Anakunywa Sumu. Hivi yuko hai bado? mbona sijasikia tangazo la kifo chake??
Jamani kuwa ccm ni kuwa na wehu!
 
Wana ccm kutotimiza ahadi zao ndo kawaida yao, JK grid ya taifa Ruvuma hata mkakati yakinifu bado, kule ziwa nyasa meli bado, Ludewa barabara ya Lami hakuna, NA HUYU DIWANI NAYE SUMU BADO HAJANYWA.... Yaani wote niwaongo waongo tu.....
Nyie ndio waongo mnajifanya hamuwapendi ukifika wakati wa uchaguzi mnapewa kapelo na fulana halafu mnaendelea kuumia another 5 years! Zile mlizopewa 2010 zimeshapauka hata maandishi hayaonekani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom