Yaani ukiapa tu inaanza ku count down, yakitimia unakatika. dah nadhani nidhamu ingekuwepo
Katika kauli ambazo kwa kweli ziliwahi kunichefua ni hii iliyokua ikitolewa na Matthias Manga ambaye ni Diwani wa Kata ya MLANGARINE,(CCM) ktk Jimbo la Arumeru Magaribi.
Kwa wale wanaomjua vema,huyu ni Miongoni mwa Watu wanaotumiwa na Mzee Mamvi Mkoani Arusha kuhujumu Harakati za Chadema,na pia alitumika ktk chaguzi za ndani za Ccm,Mkoani Arusha mwaka jana 2012 kuhakikisha kua Nafasi zote za juu,kuanzia Mkoani na Wilayani,haswa Wilaya ya Arusha Mjini hachaguliwi mtu asiekua Mzaliwa wa Asili wa Mkoa wa Arusha. Na kauli mbiu yao ilikuwa Nyumbani kwanza.!!
Ikumbukwe kuwa, Magamba yalikua na uhakika 100% kwamba Lemma angeshindwa Rufaa na Kupelekea,Uchaguzi kurudiwa.! Matthias Manga,na Phelemon Mollel Mkurugenzi,BANDIA wa Monaban kwa kutumiwa walianzisha Mikutano iliyojulikana,kama MAA!! yaani Harakati za Wamasai(Waarusha)kushika Nyadhifa zote za Kisiasa na Kiuongozi Mkoani Arusha.! Haswa Ubunge na Udiwani, ndipo Kikao cha Kwanza kilikaa Mwezi wa 8,maeneo ya Nanenane Njiro, kikao cha pili kilifanyika Maeneo ya Kaloleni mwezi wa 10,na cha Tatu kilifanyika mwezi wa 12,maeneo ya Ngaramtoni TPRI ukumbi wa Wakorea! Mikutano yote iliratibiwa na MATHIAS MANGA wakishirikiana,na PHELEMON MOLLEL.
Mwenyekiti wa Mikutano alilikuwa ni Phelemon Mollel (Ushahidi upo)..pale ndipo maneno ya Kusema Lemma akirudi Bungeni nakunywa sumu! yalikuwa yakitamkwa..Lakini baada ya Mahakama Kuu ya Rufani chini ya Majaji watatu,Kufutilia mbali Hukumu ile,na Kumrudishia Mrufani(Lemma) Ubunge, Vile Vikao vya MAA (Vya Ubaguzi wa Kikabila) vilikufa,! Na bwana Matthias Manga Diwani wa Mlangarin,kwa Aibu ya Ahadi aloyoitoa ya Kunywa Sumu japo hakufanya hivyo baada ya Lemma kurudishiwa Ubunge! Aliwanunua Vijana Usiku wa tar 31-12 2012,na kwenda kuzivunja na kuziharibu baadhi ya Ofisi na Matawi ya CDM! ktk Kata anayoiongoza.
Huyu Ndie Matthias Manga, Diwani wa Mlangarine aliyeapa kwamba Jembe Lema akirudi Bungeni Anakunywa Sumu.
Hizo ndiyo siasa za kistaarabu.....mnapingana jukwaani.....mkimaliza mnakaa chini na "tochi" zenu mnapata kinywaji pamojaYangu macho. Mathias na Lema wote mabest wangu..!!
Hii vita mie simo
No anajifanya kashasahau kama vipi anahitaji mkutano wa kumkumbusha kuhusu ahadi yake
Katika kauli ambazo kwa kweli ziliwahi kunichefua ni hii iliyokua ikitolewa na Matthias Manga ambaye ni Diwani wa Kata ya MLANGARINE,(CCM) ktk Jimbo la Arumeru Magaribi.
Kwa wale wanaomjua vema,huyu ni Miongoni mwa Watu wanaotumiwa na Mzee Mamvi Mkoani Arusha kuhujumu Harakati za CHADEMA, na pia alitumika ktk chaguzi za ndani za CCM, Mkoani Arusha mwaka jana 2012 kuhakikisha kua Nafasi zote za juu,kuanzia Mkoani na Wilayani,haswa Wilaya ya Arusha Mjini hachaguliwi mtu asiekua Mzaliwa wa Asili wa Mkoa wa Arusha. Na kauli mbiu yao ilikuwa Nyumbani kwanza.!!
Ikumbukwe kuwa, Magamba yalikua na uhakika 100% kwamba Lemma angeshindwa Rufaa na Kupelekea, Uchaguzi kurudiwa.! Matthias Manga,na Phelemon Mollel Mkurugenzi,BANDIA wa Monaban kwa kutumiwa walianzisha Mikutano iliyojulikana,kama MAA!! yaani Harakati za Wamasai(Waarusha)kushika Nyadhifa zote za Kisiasa na Kiuongozi Mkoani Arusha.! Haswa Ubunge na Udiwani, ndipo Kikao cha Kwanza kilikaa Mwezi wa 8,maeneo ya Nanenane Njiro, kikao cha pili kilifanyika Maeneo ya Kaloleni mwezi wa 10,na cha Tatu kilifanyika mwezi wa 12,maeneo ya Ngaramtoni TPRI ukumbi wa Wakorea! Mikutano yote iliratibiwa na MATHIAS MANGA wakishirikiana,na PHELEMON MOLLEL.
Mwenyekiti wa Mikutano alilikuwa ni Phelemon Mollel (Ushahidi upo)..pale ndipo maneno ya Kusema Lemma akirudi Bungeni nakunywa sumu! yalikuwa yakitamkwa..Lakini baada ya Mahakama Kuu ya Rufani chini ya Majaji watatu,Kufutilia mbali Hukumu ile,na Kumrudishia Mrufani(Lemma) Ubunge, Vile Vikao vya MAA (Vya Ubaguzi wa Kikabila) vilikufa,! Na bwana Matthias Manga Diwani wa Mlangarin,kwa Aibu ya Ahadi aloyoitoa ya Kunywa Sumu japo hakufanya hivyo baada ya Lemma kurudishiwa Ubunge! Aliwanunua Vijana Usiku wa tar 31-12 2012,na kwenda kuzivunja na kuziharibu baadhi ya Ofisi na Matawi ya CHADEMA! ktk Kata anayoiongoza.
Huyu Ndie Matthias Manga, Diwani wa Mlangarine aliyeapa kwamba Jembe Lema akirudi Bungeni Anakunywa Sumu.
Huyu mzee mwenye mvi anataka uraisi kwa udi na uvumba.......!Katika kauli ambazo kwa kweli ziliwahi kunichefua ni hii iliyokua ikitolewa na Matthias Manga ambaye ni Diwani wa Kata ya MLANGARINE,(CCM) ktk Jimbo la Arumeru Magaribi.
Kwa wale wanaomjua vema,huyu ni Miongoni mwa Watu wanaotumiwa na Mzee Mamvi Mkoani Arusha kuhujumu Harakati za CHADEMA, na pia alitumika ktk .
Mkuu sokoinei hili suala la uzawa ni kweli lilipambishwa moto na kundi la Laigwanani,kiasi fualani walifanikiwa kuwachinjia baharini wachagga na wapare ndani ya chaguzi za CCM.Nilimshangaa sana Lowassa kuratibu mipango haramu.Ikumbikwe Jimbo la Arusha mjini tangu mwaka 1980s aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini marehemu Ole Saibuli alianzisha operesheni ya kuwabagua wachagga na wapare ambao ni wengi sana mjini Arusha achilia mbali biashara kubwa na ndogo wanazomiliki.
Tangu wakati huo umekuwepo mkakati wa kutowachagua wabunge toka kabila la waArusha/maasai kwasababu ya dhambi ya ubaguzi aliyoianzisha Ole Saitabau.Alianza marehemu Mbagga mpare,akaja Kinana msomali akaja Makongoro Nyerere Mzanaki akaja Mrema mchagga na sasa Lema mchagga.
Huyu mzee mwenye mvi anataka uraisi kwa udi na uvumba.......!
Chadema bye bye haina mvuto tena
kulamba sumu ni uamuzi wa anayetaka kufa.