....Godbles Lema akirudi bungeni nakunywa sumu

....Godbles Lema akirudi bungeni nakunywa sumu

Status
Not open for further replies.
God really need an automated software to follow up on people who swears!

Hiyo software afadhali haipo maana kuna kabila fulani maarufu hapa Tanzania tungeipoteza yote, maana kuapa kwao ni lazima.
 
We mwenyewe nahisi una element ya ugamba,kichwa cha habari chenyewe kimekaa kimshituo we unajua umewashitua wangapi leo?halafu haitwi lemma.ni jembe lema.

hapana ni Jemedari Kamanda wa ardhini G.LEMA.
 
Mathias manga ni yule alimpeleka mchungaji kuombea mgodini kwake alivyorudi tu siku hiyo akafa,na aliwahi sema atakae pinga udiwani wake hataishi matokeo yake aliyekuwa mgombea wa chadema akafa kabla ya uchaguzi tetesi zilizopo amewachukuwa msukule wapo mgodini kwake wanasomoa.
 
Kwa wasio mfahamu matias manga,huyu ni mmoja ya watanzania wanaomiliki mgodi pale mererani,hela ni kweli anayo ya kutosha.
Ila hizi tuhuma zinamchafua mazima.

nyie mnaomfahamu mshaurini aache siasa maana kwa staili hii hataziweza.Siasa za Arusha ni ngumu,siku atakurupuka na kuwasema vibaya vigogo wenzie ndani ya CCM.watu wa aina hiyo hawadumu ktk siasa maana hutengeneza conflicts nyingi kutokana na midomo yao kiasi cha kushindwa kuzihimili na mwishowe huishia kwenye BLOOD PRESSURE,KISUKARI au MALARIA KALI!chezea Bongo wewe!
 
Maandiko matakatifu, yaani Biblia husema kuwa ,Ulimi huumba. Kama huyu bwana alitamka haya maneno namshauri ayafute vivyo hivyo kwenye kadamnasi vinginevyo anaweza kujikuta akinywa sumu. Viapo vingine bwana! Mmh! :cheer2:
 
Watahangaika sana hawa magamba.CDm inasonga mbele daima.
Katika kauli ambazo kwa kweli ziliwahi kunichefua ni hii iliyokua ikitolewa na Matthias Manga ambaye ni Diwani wa Kata ya MLANGARINE,(CCM) ktk Jimbo la Arumeru Magaribi.

Kwa wale wanaomjua vema,huyu ni Miongoni mwa Watu wanaotumiwa na Mzee Mamvi Mkoani Arusha kuhujumu Harakati za Chadema,na pia alitumika ktk chaguzi za ndani za Ccm,Mkoani Arusha mwaka jana 2012 kuhakikisha kua Nafasi zote za juu,kuanzia Mkoani na Wilayani,haswa Wilaya ya Arusha Mjini hachaguliwi mtu asiekua Mzaliwa wa Asili wa Mkoa wa Arusha. Na kauli mbiu yao ilikuwa Nyumbani kwanza.!!

Ikumbukwe kuwa, Magamba yalikua na uhakika 100% kwamba Lemma angeshindwa Rufaa na Kupelekea,Uchaguzi kurudiwa.! Matthias Manga,na Phelemon Mollel Mkurugenzi,BANDIA wa Monaban kwa kutumiwa walianzisha Mikutano iliyojulikana,kama MAA!! yaani Harakati za Wamasai(Waarusha)kushika Nyadhifa zote za Kisiasa na Kiuongozi Mkoani Arusha.! Haswa Ubunge na Udiwani, ndipo Kikao cha Kwanza kilikaa Mwezi wa 8,maeneo ya Nanenane Njiro, kikao cha pili kilifanyika Maeneo ya Kaloleni mwezi wa 10,na cha Tatu kilifanyika mwezi wa 12,maeneo ya Ngaramtoni TPRI ukumbi wa Wakorea! Mikutano yote iliratibiwa na MATHIAS MANGA wakishirikiana,na PHELEMON MOLLEL.

Mwenyekiti wa Mikutano alilikuwa ni Phelemon Mollel (Ushahidi upo)..pale ndipo maneno ya Kusema Lemma akirudi Bungeni nakunywa sumu! yalikuwa yakitamkwa..Lakini baada ya Mahakama Kuu ya Rufani chini ya Majaji watatu,Kufutilia mbali Hukumu ile,na Kumrudishia Mrufani(Lemma) Ubunge, Vile Vikao vya MAA (Vya Ubaguzi wa Kikabila) vilikufa,! Na bwana Matthias Manga Diwani wa Mlangarin,kwa Aibu ya Ahadi aloyoitoa ya Kunywa Sumu japo hakufanya hivyo baada ya Lemma kurudishiwa Ubunge! Aliwanunua Vijana Usiku wa tar 31-12 2012,na kwenda kuzivunja na kuziharibu baadhi ya Ofisi na Matawi ya CDM! ktk Kata anayoiongoza.

Huyu Ndie Matthias Manga, Diwani wa Mlangarine aliyeapa kwamba Jembe Lema akirudi Bungeni Anakunywa Sumu.
 
Huyu mathias kwanza kajenga ghorofa kando ya mto afuatiliwe kwenye ujenzi sheria ichukue mkondo wake
 
Mtu mwenyewe hata sheria hajui! ya nini kuhangaika naye.
 
Nimewahi kukutana n MMASAI akaniambia maneno haya:mdomo unaokula chakula leo kesho kwenye hali ngumu unaweza kula KINYESI.Kwa mantiki hiyo ni vizuri kuwa na tabia ya KUPANGUSA mdomo baada ya kula,ili iwapo umekula vizuri ama umezidiwa ukala kinyesi IWE NI SIRI YAKO NA MDOMO, wengine tusifahamu.
Laiti maneno wanayoropoka watu wangeliyahifadhi mioyoni mwao!
 
Nimewahi kukutana na MMASAI akaniambia maneno haya:mdomo unaokula chakula leo kesho kwenye hali ngumu unaweza kula KINYESI.Kwa mantiki hiyo ni vizuri kuwa na tabia ya KUPANGUSA mdomo baada ya kula,ili iwapo umekula vizuri ama umezidiwa ukala kinyesi IWE NI SIRI YAKO NA MDOMO, wengine tusifahamu.
Laiti maneno wanayoropoka watu wangeliyahifadhi mioyoni mwao!
 
awahi rwanda! wana ready made graves! kwani ana ukoo na kisandu?
 
Last edited by a moderator:
Mathias manga ni yule alimpeleka mchungaji kuombea mgodini kwake alivyorudi tu siku hiyo akafa,na aliwahi sema atakae pinga udiwani wake hataishi matokeo yake aliyekuwa mgombea wa chadema akafa kabla ya uchaguzi tetesi zilizopo amewachukuwa msukule wapo mgodini kwake wanasomoa.

Du!! Hii kali!

 
Huyu mathias kwanza kajenga ghorofa kando ya mto afuatiliwe kwenye ujenzi sheria ichukue mkondo wake

Majengo yaliyo pembeni ya mto arusha-naura springs hotel,tra arusha,nssf zamani matongee,msikiti mpya wa wahindi,jengo jipya aicc maeneo ya fire,ccm sanawari,na mengine madogomadogo mengi,na mengine mita chache toka mtoni na ni majengo nyeti kabisa,na ajabu zaidi eneo la mto pembeni ya mount meru hotel mtu kauziwa tayARi kwa ujenzi
 
Huyu Mathias Manga kwa kweli ni Diwani wa Mlangarini Wilaya ya Arusha.
Ninachoweza kusema kwa haraka haraka ni moja tu ni kweli kabisa ya kwamba vikao vimeendeshwa kama ilivyotajwa hapo juu na Sokoine;

Jana tarehe 22/01/2013 majira ya mchana Mathias alikuwa safari Mwanza na kukawa na group lake linamsubiriwa na mara akatua na akakutana na mafisadi wenzake hapo NAROK PUB na wakaendelea na mbinu zao za kifisadi ila ninachoweza kuwaambia ni kwamba hakika mbinu zao zote tunayo mifukoni member hawa wanaotumiwa humu jamvini naomba wafikishe ujumbe huu, zomba; Ritz; thatha; Rejao; Na wote wenye tabia ya hawa jamaa tajwa!

Daudi Mchambuzi; Nakwambia ya kwmb huyu Mathias Manga hili ghorofa alilojenga ataja ona ni chungu!


JF DAIMA!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom