....Godbles Lema akirudi bungeni nakunywa sumu

Status
Not open for further replies.
Kilichoandikwa hapa ni kweli, hata mimi ni mmojawapo ya watu niliokuwa nahudhuria hv vikao!!! niliumizwa sana na jinsi Wamasai na Waarusha wanavyoanza kuwabagua makabila mengine na hasa hapa wachaga wanapigwa vita sana!!! Kupigwa vita wachaga kulianzia makanisani na hasa KKKT, hawa watu wanagombana na watu balada ya kugombana na souce ya tatizo!! mimi ni mwaarusha, tatizo la waarusha ni kwamba wazazi hawataki kupeleka watoto wao shule na watoto hawataki kusoma, ni kuuza mashamba kwa mamilioni kila siku then wananunua bodaboda na towm ice, kwa vijana wa kiarusha na kimasai kazi kubwa iliyoko kichwani mwao ni kuwa dereva!!! tena waarusha wanadanganywa na waarusha na wamasai wenzao, akina lowasa, phelemon molle, mathias n.k wanawadanganya waarusha kwa kuwauzia maeneo na wao wanayaendeleza na kuwa matajiri!!!! NDUGU ZANGU WAMASAI, ADUI YETU SIO WACHAGA HATA KIDOGO, NI SISI WENYEWE, NI WAMASAI WENZETU, NI WACHUNGAJI HASA WA KKKT WANAOHUBIRI UKABILA MAKANISANI, NI MILA ZETU MBOVU AMBAZO HATUTAKI KUZIACHA NA WANASIASA HAWATAKI KUTUAMBIA UKWELI KWANI WANAOGOPA KUPOTEZA ULAJI WAO, ADUI YETU NI KUKOSA KUWASOMESHA WATOTO WETU, KUENDEKEZA POMBE NA NDOA ZA WAKE WENGI ZISIZO NA TIJA KABISA, NA ZAIDI SANA ADUI YETU NI CCM NA VIONGOZI WA CCM!!!!! HATA HIVYO SISI MACHALIIII WA ARUSHA TUMESHAISHTUKIA CCM, SIE TUNAMJUA LEMA KAMA KAMANDA WETU NA KIONGOZI WETU NA WENGINE WANAOFANANA NA LEMA KWA KUPIGANIA UZALENDO, HAKI NA HESHIMA NA MAISHA MAZURI YA MTANZANIA HIVYO!!!
Hili sitatizo la Umasaini tu, nibtatizo katika maeneo mengi nchini. Wanasiasa wengi wanajitahidi kutafuta kila njia ya kuwafanya wananchi kuendelea kuwa wajinga ili waendelee kuwatawala. wanasiasa wengi wanatafuta njia za kuwafanya wananchi kuwa wanyonge na wasio na umoja ili iwe rahisi kwao (wanansiasa) kuendelea kubakia madarakani kwa muda mrefu. Lakini nadhani muda wa wanasaisa wa aina hii unakaribia kufikia ukomo kwani watanzania wengi hivi sasa wameelimika na wanazigundua janja hizi kabla hazijajikita katika imani za watu
 
Mpita Njia; Huu ugonjwa upo sana kanda ya Kaskazini hasa mkoa wetu huu wa Arusha baadhi ya wilaya kama Monduli,Longido,Ngorongoro na hata wilaya ya Arusha (Arumeru Magharibi zamani) bado gonjwa hili lipo!

Ila hakika mafisadi itakula kwao kwani raia wamesanuka flu!

Hili sitatizo la Umasaini tu, nibtatizo katika maeneo mengi nchini. Wanasiasa wengi wanajitahidi kutafuta kila njia ya kuwafanya wananchi kuendelea kuwa wajinga ili waendelee kuwatawala. wanasiasa wengi wanatafuta njia za kuwafanya wananchi kuwa wanyonge na wasio na umoja ili iwe rahisi kwao (wanansiasa) kuendelea kubakia madarakani kwa muda mrefu. Lakini nadhani muda wa wanasaisa wa aina hii unakaribia kufikia ukomo kwani watanzania wengi hivi sasa wameelimika na wanazigundua janja hizi kabla hazijajikita katika imani za watu
 
Last edited by a moderator:
God really need an automated software to follow up on people who swears!
Zipo,sema akizitumia tusingekuwa hata na rais,maana maraisi wengi wanakiuka viapo vyao underground ! kilasiku angekuwa anadondoka mtu usiyemtarajia !
 
Kilichoandikwa hapa ni kweli, hata mimi ni mmojawapo ya watu niliokuwa nahudhuria hv vikao!!! niliumizwa sana na jinsi Wamasai na Waarusha wanavyoanza kuwabagua makabila mengine na hasa hapa wachaga wanapigwa vita sana!!! Kupigwa vita wachaga kulianzia makanisani na hasa KKKT, hawa watu wanagombana na watu balada ya kugombana na souce ya tatizo!! mimi ni mwaarusha, tatizo la waarusha ni kwamba wazazi hawataki kupeleka watoto wao shule na watoto hawataki kusoma, ni kuuza mashamba kwa mamilioni kila siku then wananunua bodaboda na towm ice, kwa vijana wa kiarusha na kimasai kazi kubwa iliyoko kichwani mwao ni kuwa dereva!!! tena waarusha wanadanganywa na waarusha na wamasai wenzao, akina lowasa, phelemon molle, mathias n.k wanawadanganya waarusha kwa kuwauzia maeneo na wao wanayaendeleza na kuwa matajiri!!!! NDUGU ZANGU WAMASAI, ADUI YETU SIO WACHAGA HATA KIDOGO, NI SISI WENYEWE, NI WAMASAI WENZETU, NI WACHUNGAJI HASA WA KKKT WANAOHUBIRI UKABILA MAKANISANI, NI MILA ZETU MBOVU AMBAZO HATUTAKI KUZIACHA NA WANASIASA HAWATAKI KUTUAMBIA UKWELI KWANI WANAOGOPA KUPOTEZA ULAJI WAO, ADUI YETU NI KUKOSA KUWASOMESHA WATOTO WETU, KUENDEKEZA POMBE NA NDOA ZA WAKE WENGI ZISIZO NA TIJA KABISA, NA ZAIDI SANA ADUI YETU NI CCM NA VIONGOZI WA CCM!!!!! HATA HIVYO SISI MACHALIIII WA ARUSHA TUMESHAISHTUKIA CCM, SIE TUNAMJUA LEMA KAMA KAMANDA WETU NA KIONGOZI WETU NA WENGINE WANAOFANANA NA LEMA KWA KUPIGANIA UZALENDO, HAKI NA HESHIMA NA MAISHA MAZURI YA MTANZANIA HIVYO!!!

wewe hukuwepo, ungekuwepo, usingekuja kuanika uharo wako hapa
 
Kama yupo inabidi afuatwe akumbushwe ahadi yake kwa wapiga kura..,!
 
DIWAN HUYO MJINGA,HAJUI KUNYWA SUMU NI DHAMBI.MLIOMCHAGUA MPIMEN TENA,HAWAFAI. PIA KUMBUKENI KIBAJAJ LUSINDE WA MTERA ALIYOSEMA IGUNGA KUWA WAKISHINDWA ATAKUNYWA SUMU,KWELI WALISHINDA LAKIN MUULIZEN MSHINDI YUKO WAPI LEO?WALITUMIA HILA,VITISHO NA WIZI,WAMEUMBULIWA NA MAHAKAMA WAZIITAZO ZAO.SHAME ON THEM.:A S shade:NAPE HUYU.
 
Yangu macho. Mathias na Lema wote mabest wangu..!!
Hii vita mie simo

1) Lema ni mbunge kwahiyo unaogopa nguvu yake ya kisiasa and especialy nguvu ya umma inayomsapoti. 2) Mathias ni mmoja wa matajiri wa mawe mkoa Arusha na hiyo inakupa hofu kutokana na mtandao mkubwa wa wanaapolo. Hakuna cha u-best bali umedhihirisha udhaifu wako wa kutokujiamini
 
huyu diwani si ndiye amejenga gorofa pale sakina amezuia mto na wananchi wanapata shida ya maji na walimuambia abomoe akatumia uwezo wake wa fedha kuendelea kujenga
 
----- hilo lijamaa....ndio maana likaenda kujenga ghorofa kumi alakini gaden wala sweeming pool hakuna
maegesho tu ya magari pia tatizo"ana akili sasa huyo mtu.
lilinikera sana siku moja ,anatoka na taulo barabarani wakati anajumba lina mambo yote ndani..hapo ndio nikajua huyu ----- kweli hamnazo
 
Haroo,
Ina maana hili jamaa bado liko hai mpaka sasa???
Mimi najua lirishakufa siku nyingi kwa kunywa sumu baada ya Mahakama kumrudisha Mheshimiwa Lema Bungeni.

Mimi nashauri lrikamatwe na rinyweshwe hiyo sumu kwa nguvu na likufirie mbali maana liliweka ahadi!!!

Pambaf kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom