Anayefura kati yangu na wewe ni nani?
Kuita Maandiko upuuzi, kunaonesha akili zako zilivyo!
Ungekuwa una-experience ya mambo ya kidini na uponyaji ungeelewa kwanini nimezungumzia Uhai.
Tatizo, huna.
Ndio maana tunajiuliza kwakufanya tafiti tupate majibu..
Nasio uvivu wa kusema majibu anayo mungu..ambae haexist
Dini na Uponyaji...?!!?
Wafia dini akili zenu kwann hamkai nazo mmewakabidhi matapeli/wachunga/manabii fake ma mbumbumbu..
Wewe dini imewahi kukuponya kivipi..?!? au ni illusination zako tuu, Dini ni chama cha siasa au cha ushirika, NGO....tokea lini unaponywa na Ltd..ukiumwa nenda hospitali sio hawa wapiga deal
Unaona sasa ulivyo na akili sisimizi!!??Dini na Uponyaji...?!!?
Wafia dini akili zenu kwann hamkai nazo mmewakabidhi matapeli/wachunga/manabii fake ma mbumbumbu..
Wewe dini imewahi kukuponya kivipi..?!? au ni illusination zako tuu, Dini ni chama cha siasa au cha ushirika, NGO....tokea lini unaponywa na Ltd..ukiumwa nenda hospitali sio hawa wapiga deal
Kwani kuhusu Mungu kuwa haexist ni matokeo ya utafiti au ni misimamo tu ya watu kama ilivyo misimamo ya kuwa Mungu yupo?Ndio maana tunajiuliza kwakufanya tafiti tupate majibu..
Nasio uvivu wa kusema majibu anayo mungu..ambae haexist
Ila mkuu kiuhalisia sio kila maradhi wanayopata watu uenda kutibiwa hospitali.Dini na Uponyaji...?!!?
Wafia dini akili zenu kwann hamkai nazo mmewakabidhi matapeli/wachunga/manabii fake ma mbumbumbu..
Wewe dini imewahi kukuponya kivipi..?!? au ni illusination zako tuu, Dini ni chama cha siasa au cha ushirika, NGO....tokea lini unaponywa na Ltd..ukiumwa nenda hospitali sio hawa wapiga deal
Ujinga utakuuwa wewe uliyemjinga, unayeamini magonjwa yametokeza tu!Unapo pata ugonjwa nenda hospitali..
Ujinga utakuua, Dini haitakaa ikuponye kamwe..
tumia akili angalau 1%
Kwahio mkuu Mungu wako ni mungu wa vitu visivyojulikana ( god of the unknown)Even the scientists failed to find the source of "gravity" therefore there must be the first cause known as God. Faith starts where the reason ends
Hizi ni quotes za wasabato wamewalisha wanasayansi..Hao hapo Einstein Newton wako...
Hizi ni quotes za wasabato wamewalisha wanasayansi..
Tafuta kitabu chochote cha hao watu au gazeti lolote ambalo hao watu wamesema hicho ulichokipost..
Jibu ni kwamba hutapata kitabu wala gazeti lolote credible lililoandika hayo mambo..
Na muache tabia ya kuwalisha maneneo marehemu waliokufa ambao hawawezi kuwajibu wala kuwapinga
Sihitaji kuambiwa na mtu kuhusu huyo Mungu, mmbo ya Mungu nilishafikia conclusion yake miaka 10 iliyopita, imebaki kazi ya kuwapeleka shule watu kama nyieNgoja nikwambie jambo, watafute wale wasanii wakubwa wa secular music uwaulize kuhusu Mungu, hapo utapata kitu.
Hahahaha we jamaa bhana...Mawazo ya wavivu haya..hahahaa
Uamishe mlima upeleke wapi, wakati hapo ulipo ndipo sahihi
Makanisa yanawajaza ujinga sanaa
Sihitaji kuambiwa na mtu kuhusu huyo Mungu, mmbo ya Mungu nilishafikia conclusion yake miaka 10 iliyopita, imebaki kazi ya kuwapeleka shule watu kama nyie
Mungu angekuwepo kama vitabu vinavyosema hata huu mjadala usingekuwepo hapa,Upeleke shule ukoo wako na familia yako, Mimi huwezi niambia kitu asee.
Nimeona uchawi kwa macho yangu mwenyewe (sio mazingaombwe) nimethibitisha watu walioponywa kwa miujiza.
Nimeshuhudia mengi sana so huna cha kunifundisha kuhusu Mungu, hata kama Bible itakuwa na sijui mnaita nini...!
Sababu ya msingi IPO kuhusu kwanini nilikwambia uwatafute wasanii.
Btw, let's end here...!
Ujinga utakuuwa wewe uliyemjinga, unayeamini magonjwa yametokeza tu!
Umeambiwa kuna Ukimwi na huelewi umeanzajeanzaje! Ukishaambiwa unaenda kubugia ARVs.
Umeambiwa kuna Ebola na hujui nini kiko nyuma ya pazia.
Tumia akili angalau 0.0000001%.
Hahahaha we jamaa bhana...
Ivi hata unasomaga hata maandiko??
Au ww huna iman yeyote??
Mana yawezekana hujamjua huyu YESU..
Nenda kalale na Biblia uone kama utapona huo ukimwi..Na bora watu wenye ukimwi wanaonekana
Si huyu yesu wenu mnaomsubiria atue kutoka mawinguni kama mvua
Kupungukiwa kupo Mkuu,Nitaendelea kuamini Mungu yupo hata Kama hayupo maana sipungukiwi na chochote.