God Is Great! Baada ya Kupata Ajali Mbaya! DON'T TAKE GOD FOR GRANTED!!!

God Is Great! Baada ya Kupata Ajali Mbaya! DON'T TAKE GOD FOR GRANTED!!!

Updates za afya ya Lara 1 vipi? Anaendeleaje kwa wenye taarifa?
 
Pole sana lara 1,

Mwenyeezi Mungu akuvuwe hilo na lingine na yeye tu apasae kuhimidiwa.

Ramadhan Kareem
 
Last edited by a moderator:
Pole sana lara 1,

Mwenyeezi Mungu akuvuwe hilo na lingine na yeye tu apasae kuhimidiwa.

Ramadhan Kareem

Ulipotea ndugu! Tumekosa michango yako mingi sana hasa katika kipindi hiki kigumu kisiasa na kiuchumi, mf gesi haitoki, kodi kila kadi ya simu kwa mwezi, chaguzi ndogo, mabomu Arusha, udini Zanzibar etc.

Karibu sana
 
Get well soon!! but the last para.... with traditional TV mmh... dont go any longer! The God you acknowledged all along your post will be very furious!
 
GUYS THANK YOU A LOT FOR THE LOVE N SUPPORT! Nashukuru Mungu naendelea vizuri! Tuendelee kuombeana!
 
Back
Top Bottom