God Is Great! Baada ya Kupata Ajali Mbaya! DON'T TAKE GOD FOR GRANTED!!!

God Is Great! Baada ya Kupata Ajali Mbaya! DON'T TAKE GOD FOR GRANTED!!!

Hii lugha ya Malkia uliyotumia imeondoa mantiki nzima ya hii thread, don't ask me why!

Kumbe umeliona hilo mkuu!! Plus kuzungusha zungusha maneno!

Au labda ndo furaha?!

Ngoja ninyamaze wasije kusema hayajanikuta mimi ndio maana!
 
pole tena lara 1......... kweli mungu alikulinda kama huo mshipa Dokta aliokuongelea ni Femoral Artery basi umerudia mlango wa mauti........ sijawahi kukuona physical appearance ila kama umeanguka tu kama kijana ukavunjika mfupa wa femoro utakuwa na uzito mkubwa sana, punguza uzito kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Hii lugha ya Malkia uliyotumia imeondoa mantiki nzima ya hii thread, don't ask me why!

Nimejipinda kuandiza ZE KINGELEZALING ili tu nisiweke yale maswagga ya uswazi na kuchekesha watu katika mambo serious!!!!!!

Ila wanasema WITH HUMANS ITS NEVER ENOUGH!!!!!!!!!!
 
pole tena lara 1......... kweli mungu alikulinda kama huo mshipa Dokta aliokuongelea ni Femoral Artery basi umerudia mlango wa mauti........ sijawahi kukuona physical appearance ila kama umeanguka tu kama kijana ukavunjika mfupa wa femoro utakuwa na uzito mkubwa sana, punguza uzito kidogo.

Hahahaaaaaaaaa! (ITS NOT A LAUGHING MATTER AND IM ASHAMED OF MYSELF!) Niliangukia kitu chenye ncha kali ndo kikanichoma na kunikata vibaya hadi jirani na hayo mambo yenu ya biology!
 
nimefurahi kusikia unaendelea vizuri aisee, nilikuwa nakuombea upone haraka uje uendelee kutupatia uhondo hapa Jf!!

Thankssss!!!!!!!!!! Habari sasa ndo mtazipata sababu nina POP na nipo bed rest mwezi mzima, kushinda humu haitokuwa option! Mpaka mwezi uishe nitawapa hadi story za mwaka 47!
 
Get well soon Lara 1,
hope ur loved by.
 
Hahahaaaaaaaaa! (ITS NOT A LAUGHING MATTER AND IM ASHAMED OF MYSELF!) Niliangukia kitu chenye ncha kali ndo kikanichoma na kunikata vibaya hadi jirani na hayo mambo yenu ya biology!

aiseeee kumbe was terrible.
Thankssss!!!!!!!!!! Habari sasa ndo mtazipata sababu nina POP na nipo bed rest mwezi mzima, kushinda humu haitokuwa option! Mpaka mwezi uishe nitawapa hadi story za mwaka 47!

wewe lara POP na kidonda cha kitu chenye ncha kali?
 
Thankssss!!!!!!!!!! Habari sasa ndo mtazipata sababu nina POP na nipo bed rest mwezi mzima, kushinda humu haitokuwa option! Mpaka mwezi uishe nitawapa hadi story za mwaka 47!

halafu usiruhusu moyo wako kuamini kuwa ni ajali ya mkono wa mtu, ukishajiingiza kwa waganga wa kienyeji hauchomoki huko kirahisi, umaliza hili linaibuka jingine unaenda tena, series inaendelea kukua mpaka basi, na hivi ni wataalamu wa kuunganisha dots, utakuwa mteja wao wa kudumu!

mi niliangukaga mwaka jana mpaka leo sipati picha what actually happened, manake sehemu yenyewe ni mlangoni wakati natoka nje, ni mlango niliouzoea lakini it simply happened nikaanguka hapo wakati natoka nje asubuhi kwenda kwenye mishemishe zangu za kila siku. Nilipigiza kisogo chini nikaona maluelue kama dk 2 hivi niko hapo chini, but was full conscious! i think there was a network failure (loose coordination) btn my brain, eyes and my feet. Eti nikashindwa ku-nigotiate kile kistep kimoja cha mlangoni ndo nikaanguka. Nilitegua mkono na kawa ndg, jamaa na marafiki wachache´waliojitokeza' kuja kunisalimia walisema ni bure kuna mkono wa mtu. Nilipinga dhana hiyo na mpaka leo niko normal tu, tunaendelea kuishi nyumba hiyi hiyo na natumia mlango huo huo, life goes!

Anyway, you know bettter what happened on your side, so the decision is yours! maisha ni yako - (maneno yako haya!!)
 
Ni habari njema kwa team-MMU and so to the so called "udaku spesho" lol..
 
mungu ndio wakushukuriwa kwa kila kitu kutukeacho juu yetu...
 
Acheni na uhuni pia.[/QUOTE

Unahamu nikusemeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!! NIKIKUSEMA UTALIAAAAA! Unahamu nikuchambeeeeeeeee! NIKIKUCHAMBA UTAZIMIAAAAAAAAA!

mgonjwa hujatulia!!!lol
pole dear,Mungu ni mwema em endelea kumuamini jus like today or tommorow gonna be a deadline for ev1 who believes in him.
Jus keep in prayn like ur in a prayn competition n u don wanna loose.
TRUST ME.. Hata kama ni mkono wa mtu.. Hata uwe mguu wa mtu.. JINA LA YESU NA DAMU YAKE TUU NI ZAIDI YA MIKONO AMA UJANJA WA AINA YOYOTE WA BINADAMU.
Have faith in him as evrythn happen for a REASON..
**hug* huug..n big Hug for u*
 
senki yuu vere machi God. Lara1 iz duing vere weli....
 
Back
Top Bottom