Goba parachichi 7000

Ni parachichi la aina gani??

Dar hamlimi hayo matunda, kuna yals makubwa mengi wanatoa nje, kama ni yale 7000 ni halali, ni adimu kidogo.

Ila haya ya kienyeji mbezi pale unayakusanya kama yote kwa jerojero au buku tu.

Nilikuwa nakaa makumbusho parachichi ilo ilo analo uza 7000 kule nilikuwa nanunua 3000-4000 7000 parefu ina maana ukitaka juice ya nyumbn uandae 40000 kweli hiyo haija kaa sawaa
 
Nilikuwa nakaa makumbusho parachichi ilo ilo analo uza 7000 kule nilikuwa nanunua 3000-4000 7000 parefu ina maana ukitaka juice ya nyumbn uandae 40000 kweli hiyo haija kaa sawaa
Mkuu ni utofauti wa maeneo tu, mnauziwa kulingana na stutus yenu.
 
Ulikosea kwenda na IST yako,ungeipaki mbali kidogo halafu ukavunga kama umeshuka kwenye daladala...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ