Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,976
- 67,593
Dar es Salaam kuna maeneo yenye maisha ya hovyo na kipumbavu sana, mojawapo ni hilo eneo la Goba.Guys
Leo nimashangaa sanaa nimefika goba center wanapo uza matunda nichukue matunda ya juice nime agiza parachichi na embe na passion, naambiwa bill 45 nauliza parachichi shingapi 7000 embe 3000 psion 3 = 2000
Nika mwambia rudisha kwaheri aka sema eee jamn kwanini tena nika muuliza wewe unge weza kununu parachichi moja kwa 7000? Nikapanda gari uyoooo nika mrudishia matunda yake
Nikaongoza njia moja kwa moja njia nne nikanunua nika sepa zangu na nimetumia 12000 tu
Wee umepaki gari ukafikiri nini..Guys

Watakuja hapa watakuambia tafuta hela, safi sana umesave Elfu 33
Mbona bei ya kawaida sanaa
Dar es Salaam kuna maeneo yenye maisha ya hovyo na kipumbavu sana, mojawapo ni hilo eneo la Goba.
Wee umepaki gari ukafikiri nini..
Siku nyingine kapaki mbali uende kwa miguu
Watu hufikiri hela zinaokotwa!
Yaani goba imekuwa prime area nowadays na supermarkets wakati miaka 20 iliyopita nilikuwa nalima mahindi mabadiliko hayakwepeki.Dar es Salaam kuna maeneo yenye maisha ya hovyo na kipumbavu sana, mojawapo ni hilo eneo la Goba.
ok.πGuys
Leo nimashangaa sanaa nimefika goba center wanapo uza matunda nichukue matunda ya juice nime agiza parachichi na embe na passion, naambiwa bill 45 nauliza parachichi shingapi 7000 embe 3000 psion 3 = 2000
Nika mwambia rudisha kwaheri aka sema eee jamn kwanini tena nika muuliza wewe unge weza kununu parachichi moja kwa 7000? Nikapanda gari uyoooo nika mrudishia matunda yake
Nikaongoza njia moja kwa moja njia nne nikanunua nika sepa zangu na nimetumia 12000 tu
Stereo ni Temeke? Atoke Goba hadi Temeke kununua matunda matatu ya juice?Mkuu tembelea Soko la Stereo matunda hayana bei.
Huwa nikikutana na wafanyabiashara wa aina hio huwa naondoka wala simwambii kitu. Kama mafundi wanapenda sana kupaisha bei huwa nawaambia nitakupigia hio ndio hatanisikia tena.Guys
Leo nimashangaa sanaa nimefika goba center wanapo uza matunda nichukue matunda ya juice nime agiza parachichi na embe na passion, naambiwa bill 45 nauliza parachichi shingapi 7000 embe 3000 psion 3 = 2000
Nika mwambia rudisha kwaheri aka sema eee jamn kwanini tena nika muuliza wewe unge weza kununu parachichi moja kwa 7000? Nikapanda gari uyoooo nika mrudishia matunda yake
Nikaongoza njia moja kwa moja njia nne nikanunua nika sepa zangu na nimetumia 12000 tu
Tunza kibunda chako Mkuu, kama Una Tumbo kubwa walijua wewe ni WicknellGuys
Leo nimashangaa sanaa nimefika goba center wanapo uza matunda nichukue matunda ya juice nime agiza parachichi na embe na passion, naambiwa bill 45 nauliza parachichi shingapi 7000 embe 3000 psion 3 = 2000
Nika mwambia rudisha kwaheri aka sema eee jamn kwanini tena nimuuliza wewe unge weza kununu parachichi moja kwa 7000? Nikapanda gari uyoooo nika mrudishia matunda yake