Go M7

Mwana-G

Member
Jan 9, 2016
45
15
Uchaguzi wa mwaka huu Uganda ulikuw mgumu kwa M7 kama wapinzan wangeungana utofauti wao utakao wafanya wazigawe kura unanifanya ni mtabirie M7 ushind mnono vip ww mshind wako nani.... Mwaka huu wakidai wameibiwa kura itabidi dunia izibe maskio utakuwa ni uongo wa kiwango cha hali ya juu.
 
Museven lazima ashinde hawa wapinzani wake wamejiangamiza wenyewe, kosa hili ndio linalofanya vyama tawala viendelee kuongoza milele. Ubinafsi.
 
Wasingeweza kuungana kwamaana wote walisha shika nyazifa kubwa. Kwahiyo wao wote wa wawili wanashida na uraisi sio kumtoa m7 madarakani.
 
Back
Top Bottom