Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,026
- 1,704
Habari za wana Jf Poleni na majukum
Miaka miwili iliyopita Wizara ya afya Kupitia Global Fund Foundation ilitoa udhamini kwa baadhi ya Vyuo vya afya nchini Tanzania moja ya vyuo hivo ni Kondoa na Chuo cha Uuguzi Mirembe ambacho kipo Hospital ya Mirembe Dodoma...
Ufadhili huo ulilenda moja kwa moja kwa baadhi ya wanafunzi wa Uuguzi katika ngazi ya cheti (certificate).
Ombi langu ni hili kama kuna mtu anaefahama swala hili la Global fund au mwenye mawasiliano yao naomba anisadie
Asanteni....