NAKEMBETWA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,517 Reaction score 3,139 Nov 11, 2016 #21 Naona tu jiji, jiji, jiji vile, jiji hivi
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #22 Gama said: Kama ni kweli basi tumwachie Mungu Click to expand... Na sisi binadamu je?
for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,397 Reaction score 4,440 Nov 11, 2016 #23 Kuna mtu kwenye huu uzi atamuingiza jpm sijui anahusikaje na mambo yao ya ndani muacheni mazee wa watu ajenge nchi
Kuna mtu kwenye huu uzi atamuingiza jpm sijui anahusikaje na mambo yao ya ndani muacheni mazee wa watu ajenge nchi
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #24 lancanshire said: Aisee nimeshtuka.something must be done here. Click to expand... Immediately! Unadhan kitaanzia wapi?
lancanshire said: Aisee nimeshtuka.something must be done here. Click to expand... Immediately! Unadhan kitaanzia wapi?
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #25 Nifah said: Uwiiiiiiii Mungu wangu,Kagame ana roho mbaya sana. Mashirika ya haki za binadamu yako wapi? Dah Click to expand... Naona sasa wamepuuzia hili jambo. Limebakia kama nadharia tu tangu serikali yenyewe haijali
Nifah said: Uwiiiiiiii Mungu wangu,Kagame ana roho mbaya sana. Mashirika ya haki za binadamu yako wapi? Dah Click to expand... Naona sasa wamepuuzia hili jambo. Limebakia kama nadharia tu tangu serikali yenyewe haijali
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #26 Nifah said: Uwiiiiiiii Mungu wangu,Kagame ana roho mbaya sana. Mashirika ya haki za binadamu yako wapi? Dah Click to expand... Naona yanapuuzia hii habari. Lakini aidha ni sababu dhaifu zitolewazo na serikali ya kwamba hawana pesa za kutosha.
Nifah said: Uwiiiiiiii Mungu wangu,Kagame ana roho mbaya sana. Mashirika ya haki za binadamu yako wapi? Dah Click to expand... Naona yanapuuzia hii habari. Lakini aidha ni sababu dhaifu zitolewazo na serikali ya kwamba hawana pesa za kutosha.
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #27 Tarrus said: Inaogofya kwakweli Click to expand... Si kidogo. Kuna picha moja mwandishi wa habari yupo nje ya geti ya gereza hilo akiwatazama kwa kuguswa mno!
Tarrus said: Inaogofya kwakweli Click to expand... Si kidogo. Kuna picha moja mwandishi wa habari yupo nje ya geti ya gereza hilo akiwatazama kwa kuguswa mno!
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #28 Gama said: Nadhani Trump angeanzia hapa Click to expand... Angeanza hapa kufanyaje mkuu?
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #29 werrason said: Dah!!! Chuki ya watutsi na wahutu ni kubwa sana kama ni hivi, Kaga yme si binadamu Click to expand... Hali ya huko inatisha mno. Kwani watutsi hawakuwaua wenzao?
werrason said: Dah!!! Chuki ya watutsi na wahutu ni kubwa sana kama ni hivi, Kaga yme si binadamu Click to expand... Hali ya huko inatisha mno. Kwani watutsi hawakuwaua wenzao?
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #30 niah said: Kwenye Papilon siyo wingi bali ilikuwa mateso waliyokuwa wakipata kule kisiwa cha Devil. Hapa siyo Segerea kweli? Click to expand... Njia ya kuwatesa wafungwa hapa ni kuwanyima space. (Object of torture)
niah said: Kwenye Papilon siyo wingi bali ilikuwa mateso waliyokuwa wakipata kule kisiwa cha Devil. Hapa siyo Segerea kweli? Click to expand... Njia ya kuwatesa wafungwa hapa ni kuwanyima space. (Object of torture)
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #31 Jungle Warrior said: Hivi Umoja wa Mataifa upo kwaajili gani? Yako wapi mashirika ya watetezi wa binadamu? East Africa Community ina maana gani? Aaaarghhhhhhh............ Click to expand... Ndugu yangu, Hayo mashirika yapo tu. Yapo mengi yanayoendelea duniani na hayana mtu wa kuyasemea.
Jungle Warrior said: Hivi Umoja wa Mataifa upo kwaajili gani? Yako wapi mashirika ya watetezi wa binadamu? East Africa Community ina maana gani? Aaaarghhhhhhh............ Click to expand... Ndugu yangu, Hayo mashirika yapo tu. Yapo mengi yanayoendelea duniani na hayana mtu wa kuyasemea.
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #32 py thon said: Hiyo picha ya watu waliolaliana ,siyo jela ya Ghana hyo kweli Hiyo picha ni ya moja ya jela huko Ghana na siyo Rwanda Click to expand... Embu pitia tena vyanzo vyako.
py thon said: Hiyo picha ya watu waliolaliana ,siyo jela ya Ghana hyo kweli Hiyo picha ni ya moja ya jela huko Ghana na siyo Rwanda Click to expand... Embu pitia tena vyanzo vyako.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,216 Nov 11, 2016 #33 Inawezekana kweli Dunia hii iliotawaliwa na utandawazi kujua jambo hili na kulifumbia macho!sina imani ya ukweli wa hii makala,Rwanda inaogopwa nini mpaka iwe inafanya mambo ya kinyama kiasi hiki bila ya kuchukuliwa hatua na jumiya ya kimataifa?
Inawezekana kweli Dunia hii iliotawaliwa na utandawazi kujua jambo hili na kulifumbia macho!sina imani ya ukweli wa hii makala,Rwanda inaogopwa nini mpaka iwe inafanya mambo ya kinyama kiasi hiki bila ya kuchukuliwa hatua na jumiya ya kimataifa?
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,692 Reaction score 4,622 Nov 11, 2016 #34 Nahisi kama imetiwa chumvi sana hii makala
O OMEGA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 693 Reaction score 301 Nov 11, 2016 #35 Hivi TRUMP anaapishwa lini jamani?Uwii.. hii ni zaidi ya SOBABOR
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,710 Nov 11, 2016 #36 OMG.. Kagame..? aiseee..
mtimkav JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 1,034 Reaction score 662 Nov 11, 2016 #37 nimecheki moja ya documentary ya hiyo jela kwa kweli hali ni mbaya sana watu wameoza miguu dah! so sad sijui kwanini wameshindwa hata kuweka paa la jengo ila wameweza kununua ndege kubwa tena latest
nimecheki moja ya documentary ya hiyo jela kwa kweli hali ni mbaya sana watu wameoza miguu dah! so sad sijui kwanini wameshindwa hata kuweka paa la jengo ila wameweza kununua ndege kubwa tena latest
Atacms JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 5,342 Reaction score 9,799 Nov 11, 2016 #38 utazani gereza la SONA kwenye prison break
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #39 Trimmer said: Nahisi kama imetiwa chumvi sana hii makala Click to expand... Nenda katazame mwenyewe bwana 'Tomaso'.
Trimmer said: Nahisi kama imetiwa chumvi sana hii makala Click to expand... Nenda katazame mwenyewe bwana 'Tomaso'.
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Nov 11, 2016 Thread starter #40 OMEGA said: Hivi TRUMP anaapishwa lini jamani?Uwii.. hii ni zaidi ya SOBABOR Click to expand... Trump atafanya nini gerezani humo?
OMEGA said: Hivi TRUMP anaapishwa lini jamani?Uwii.. hii ni zaidi ya SOBABOR Click to expand... Trump atafanya nini gerezani humo?