RENATUS RUTTA
Member
- Jun 14, 2013
- 6
- 1
Wasichana hupenda mwanaume wa aina gani.
Mwenye fedha kwanza hiyo ndo first priority,u handsome hata paka anao....,kibamia maumbile atakuvumilia
Hahahahajm eti u handsome hata paka anao🙂🙂🙂 lol....nimecheka...
Hapo kibamia unampa moyo lazima tu ataibia....mwenye kisu kikali ndio anaekula nyama lol😛😛😛😛
Mwanaume pesa... mengine majaalowa
Mwanamme shughuli not pesa...
eti wanasemaga mwanamke sura, tabia utarekebisha na mwanaume pesa, sura utavumilia
sijui kama kuna ukweli hapa
Wizi mtupueti wanasemaga mwanamke sura, tabia utarekebisha na mwanaume pesa, sura utavumilia
sijui kama kuna ukweli hapa
Aa wap... hiyo theory ilifeli zamani sana
Kwangu bado ina work...lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wakiwapata wa wallet iliyojaa wanaanza tena kwenda kusaka huduma zingineKwangu bado ina work...lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wakiwapata wa wallet iliyojaa wanaanza tena kwenda kusaka huduma zingine
Basi kumbe nisicheze mbali nawe maana yaonyesha wanifaa