Tukoooo. Is it short for kituko? Lol
Lol. Fafanua hizo swag nicheke asubuhi.Karucee cku iz nakukumbuka sana maana imetokea nikawa close na mdada mmoja ambaye anafanana na wewe (swag)... vibaya
Lol. Fafanua hizo swag nicheke asubuhi.
Hahahaaa. Haya. Mpe hi.Yan vile tu unavyojiexpress hapa... kupinda sio kupinda, simpo sio simpo, msela sio msela... yan ivo ivo yan. Kama wewe
Hahahaaa. Haya. Mpe hi.
Hapa nachanganyikwa sasa wengine wanasema mwanume pesa sura na kibamia utavumiliwa,na wewe tena unasema mwanume shughuli kibamia na pesa utachapiwa mmmh! nimeshindwa nichukue lipi ili niwe mwanaume wa ukweli kwa mwanamke
Hapa nachanganyikwa sasa wengine wanasema mwanume pesa sura na kibamia utavumiliwa,na wewe tena unasema mwanume shughuli kibamia na pesa utachapiwa mmmh! nimeshindwa nichukue lipi ili niwe mwanaume wa ukweli kwa mwanamke
Eti eeee sasa kwa nini wanawake ambao waume zao au wapenzi wao wenye pesa na wanapata kila kitu still wanakuwa na mtu mwingine pembeni halafu huyo ndo anazitafuna hizo pesa what is so special why asitulie pale kwenye pesa au anakuwa hanogewi?Pesa inanogesha uhusiano
Eti eeee sasa kwa nini wanawake ambao waume zao au wapenzi wao wenye pesa na wanapata kila kitu still wanakuwa na mtu mwingine pembeni halafu huyo ndo anazitafuna hizo pesa what is so special why asitulie pale kwenye pesa au anakuwa hanogewi?
Na nin tena wakt pesa ipo ya kutosha mengine si mnavumiliana?Labda haridhiki
Wasichana hupenda mwanaume wa aina gani.
Na nin tena wakt pesa ipo ya kutosha mengine si mnavumiliana?
Ndo maana nikasema nachanganyikiwa hapa what is your priority kuwa na mume mwenye pesa au mume ataweza kukuridhisha,maana kuna mwingine kasema pesa ndo mpango mengine atavumilia lakini mwingine akaenda tofauti na kusema kufikishwa kwanza kama ni ni pesa hata yeye anaweza kuzitafuta kwa hizo scenario wewe uko upande gani?Hahaa kuvumilia kutikufikishwa kileleni ni kazi.. Ila km mko wawaz kati yenu mtajadiliana jinsi ya kumridhisha kingono huyo mpz wako